Teamo Ti ndani ya nyumba...Wapendwa wana MMU.....!
habari za muda kidogo!?nimewamisoooooooo mpaka natetemeka.
baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kidogo mtiririko wa matukio na mabandiko katika jukwaa hili ''mama'' la jamiiforums,nimedhani ni muhimu na mimi kama mwana MMU nikatoa ushauri wangu mdogo tu......!
Ninashauri tungeacha mapenzi yakatafuta njia na yakatuongoza pale ambapo kila wapendanao wanatamani kupafikia.....!
I mean let us ''BE WHAT WE ARE''...and we let ''love'' lead us where we wanna be...!
''KIONJO KIMOJA TU CHA ZIADA KUTAKA KULILINDA PENZI/KULINDA NDOA-kitakuumbua''
ahsanteni sana wakuu!
thank you for the useful thread....na siku nyingine usipotee hivyo banaa
Teamo Ti ndani ya nyumba...
Umeiba maneno yangu mkuu. Unajua kila siku mi huwa nawaambiaga watu humu ndani kuwa mapenzi hayana formula moja kiasi kwamba ukiingiza data na kukalkuleti unapata jibu moja sawa na wenzako.
Kila mtu ana kionjo chake katika mapenzi. Kila mtu ana mbinu zake za kukoleza mapenzi. Kila mtu ana ujanja wake wa kusovle matatizo katika mapenzi..... Mapenzi yanaflow naturally. Ukianza kujifunza njia za kuyaendesha mapenzi ujue unatumbukia shimoni.
Acheni mapenzi yatawale na si kujifunza kanuni za kuyafanya mapenzi yadumu.
Imetolewa na ODM
Kaunta ya JUU
King Star.
Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!haya mama..!
lakini haya mambo tungeyaacha yajiendeshe yenyewe bana!naona kama tunayapa ''external support'' kubwa mno kiasi kwamba yanashindwa kujiendesha yenyewe automatically...
nb:habari za zimbabwe?
Hapa ndipo watu watakapomshangaa ODM atakapopiga marufuku vibinti vyake kufanyiwa kitchen party.... Mtu kishalazwa kwenye sita kwa sita mpaka kanogewa, kishazungushiwa viuno mpaka anajisikia kupaa mbinguni. Labda kashapigwa vibao kavumilia. Kishampikia na jamaa limeinjoi mapishi yake.......... afu leo eti majimama ambayo yenyewe ndoa zao zimeyashinda ndo yaje kumkalisha kitako na kumfundisha "Jinsi ya kuishi na mmewe"............Hell NO!
Teamo Ti ndani ya nyumba...
Umeiba maneno yangu mkuu. Unajua kila siku mi huwa nawaambiaga watu humu ndani kuwa mapenzi hayana formula moja kiasi kwamba ukiingiza data na kukalkuleti unapata jibu moja sawa na wenzako.
Kila mtu ana kionjo chake katika mapenzi. Kila mtu ana mbinu zake za kukoleza mapenzi. Kila mtu ana ujanja wake wa kusovle matatizo katika mapenzi..... Mapenzi yanaflow naturally. Ukianza kujifunza njia za kuyaendesha mapenzi ujue unatumbukia shimoni.
Acheni mapenzi yatawale na si kujifunza kanuni za kuyafanya mapenzi yadumu.
Imetolewa na ODM
Kaunta ya JUU
King Star.
Wapendwa wana MMU.....!
habari za muda kidogo!?nimewamisoooooooo mpaka natetemeka.
baada ya kufuatilia kwa muda mrefu kidogo mtiririko wa matukio na mabandiko katika jukwaa hili ''mama'' la jamiiforums,nimedhani ni muhimu na mimi kama mwana MMU nikatoa ushauri wangu mdogo tu......!
Ninashauri tungeacha mapenzi yakatafuta njia na yakatuongoza pale ambapo kila wapendanao wanatamani kupafikia.....!
I mean let us ''BE WHAT WE ARE''...and we let ''love'' lead us where we wanna be...!
''KIONJO KIMOJA TU CHA ZIADA KUTAKA KULILINDA PENZI/KULINDA NDOA-kitakuumbua''
ahsanteni sana wakuu!
Hehehehe...ngoja nisepe, shem wangu AshaDii asijenifumania hapa. Kanambia leo namwaga sumu kama Profesa Maji Marefu LOLhahahahahahah!.....
hapa napo pana shida kubwa sana
Mkuu Teamo... naomba kujua kama nimekuelewa sawa.... SWALI... Kwamba "if i love, i should follow my heart as long as nalinda ndoa yangu??"
Exactly! But if that love is within your marriage!Mkuu Teamo... naomba kujua kama nimekuelewa sawa.... SWALI... Kwamba "if i love, i should follow my heart as long as nalinda ndoa yangu??"