Mtindo mpya wa mademu wa facebook

Mtindo mpya wa mademu wa facebook

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,303
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..

WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.
 
Hayo ndo mambo ya kisasa, mkitemana tu kesho yake unamuona anakula bata kwenye Lamborghini la Davis Mosha, hapo lazima roho ikuume tu..!
 
Kama amekubwaga na roho inakuuma wewe ndio mblock...
 
Wanakuwa wanajaribu kujipunguzia machungu tu lkn ukweli ni kwamba ukiwachunguza kiundani ni kwamba kwao neno moja la huyo wa zamani ni sawa na mia moja ya huyo mpya (bado anampenda wa zaman)
 
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..

WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.

Mbona unalalamika sana. Au wewe ni mwathirika wa hii thread nini. Hayo ndio madhara ya wanawake wa kwenye face1,000. Mnakutana ki-face1,000 mnaachana ki-face1,000. Fikiria unapopata mwanamke kwenye face1,000 usidhani kuwa uko peke yako sababu hawa viumbe wanachati na watu wengi. Sasa wewe ukiambiwa ''I love u'' unashangilia wakati wewe ni umepangwa foleni tena foleni yako ni wa 50 na ushee...
 
Nikipata muda nami nitajiunga nione fb inamzuka gani?
 
Back
Top Bottom