Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

Hapo labda Kagere ntashtuka kidogo ila hao wengine hawanasifa kwenye soka la ushindani kimataifa.
Ajib tayari anatembea na mkataba wa Yanga ila baadhi ya wanachama wamemkataa hivyo atapelekwa KMC kwa mkopo huku akiwa anakula mshahara wa GSM.
 
Sindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumzi
Kwani sarpong mlinunua kwa cash au free agent ......... tukumbushane kidogoo
 
Sindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumzi
Mhhh Ila Yanga Kwa kupangwa Tu na kukubali mko vizuri aisee hebu tuanze na Shabani Djuma free,Mayele free, Makambo, Ambundo free dogo wa Ud songo free, huyu Aucho ambae wanataka Yanga na Simba ni free pia kasoro Banda tu, kama Banda mtamchukua hapo kweli itakuwa mmenunua tofauti na hao Mtani hebu nambie ni mchezaji gani ambae mmenunua akiwa na mkataba?
 
Ykipe

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mhhh Ila Yanga Kwa kupangwa Tu na kukubali mko vizuri aisee hebu tuanze na Shabani Djuma free,Mayele free, Makambo, Ambundo free dogo wa Ud songo free, huyu Aucho ambae wanataka Yanga na Simba ni free pia kasoro Banda tu, kama Banda mtamchukua hapo kweli itakuwa mmenunua tofauti na hao Mtani hebu nambie ni mchezaji gani ambae mmenunua akiwa na mkataba?
Unazijua timu za kongo wewe,yan top scorer wa timu awe free agent!
 
Kitu cha kawaida Sana Mzee, na inatokea coz hakuna mtu ambae anajua Nani anaenda kuwa mfungaji Bora wa ligi, ata Kagere Alikuwa mfungaji Bora wa ligi msimu uliopita Ila mkataba wake ilikuwa unaenda mwishoni, baada ya hapo Simba wakakaa tena chini na wakala kufanya biashara ndo akaongeza mkataba mwingine

The same na mayele na juma hao wote mikataba Yao ilikuwa inaisha mwezi wa 7 kwahiyo baada ya kupaform vizuri msimu uliopita soko lao likaongezeka na kugoma kuongeza mikataba mipya ndio Yanga ikapita nao maana saiz ligi yetu ina maslahi mazuri hivo inavutia wachezaji wengi Tu wa kigeni

Hoja ya kusema eti naijua ligi ya Kongo mie haina mashiko, kama Messi Tu alimaliza mkataba wake Barcelona sembuse mayele mwenye goli 13 za ndondokela wa msimu mmoja? Kwanza jamaa sio mfungaji Bora ligi ya Kongo kama ambavyo mnaokotwa na viongozi wenu, top scorer wa msimu uliopita alitokea Mazembe Jean Baleke akiwa na goli 14 akifatiwa na Mayele mwenye 13, kiufupiHakuna mchezaji ambae Hadi sasa mmenunua akiwa na mkataba labda mkimnunua Banda
 
Article kubwaaa,mlienda kwa mkaambiwa bei yake mkakimbia,kwa taarifa yako mayele na djuma Yanga imewanunua sema huko kwenu kununua mchezaji ni kitu cha ajabu ndio maana unaleta ligi

Screenshot_20210727-201915_Instagram.jpg
 
Article kubwaaa,mlienda kwa mkaambiwa bei yake mkakimbia,kwa taarifa yako mayele na djuma Yanga imewanunua sema huko kwenu kununua mchezaji ni kitu cha ajabu ndio maana unaleta ligi

View attachment 1878770
Manara sio mjinga Mzee, manara alitumika na GSM kuwahadaa washabiki wa Yanga ili muwaone watu na nusu eti mmevunja mkataba na bei yake ni ndefu Sana na Simba ameshindwa kumnunua ili kupoteza fukuto la ujio wa Manji maana kuna wanachama walikuwa hawamtaki GSM wanamtaka Manji

Kuongoza Yanga ni rahisi Sana mkuu maana kazi yako wewe wambie tu mnavunja mikataba ya wachezaji,waambie tumenunua top scorer wa Kongo kumbe Kamba, waahidi makombe na ligi ikianza waambie wanaonewa na bodi ya ligi,waambie wanaonewa na marefa,waambie wanaonewa na raisi wa tff basi life cycle ya furaha ya Yanga inakuwa imeisha Hadi dirisha la usajili tena
 
Back
Top Bottom