Mtikisiko wa Usajili: Yanga yasema Jiji kutikisika leo

Mhhh Ila Yanga Kwa kupangwa Tu na kukubali mko vizuri aisee hebu tuanze na Shabani Djuma free,Mayele free, Makambo, Ambundo free dogo wa Ud songo free, huyu Aucho ambae wanataka Yanga na Simba ni free pia kasoro Banda tu, kama Banda mtamchukua hapo kweli itakuwa mmenunua tofauti na hao Mtani hebu nambie ni mchezaji gani ambae mmenunua akiwa na mkataba?
Topolos wanatikisa ati ... tafsiri ya haraka haraka ya free transfer ni magalasa.
 
Hongera mtani kumrudisha makambo
Ahsante Mtani!! Japo najikuta nawaza kuwa ipo haja ya sisi mashabiki wa Timu ya Wananchi kuwa na subira hasa mpaka afikie yule Makambo wa kipindi ile kwani huyu wa sasa hakuwa na ule moto alioondoka nao.

Mana la sivyo tutamzodoa na kulia lia mitandaoni kila siku na kusahau kwamba alikuwa anasugua benchi huko alikotoka.
 
Manara sio mjinga Mzee, manara alitumika na GSM kuwahadaa washabiki wa Yanga ili muwaone watu na nusu eti mmevunja mkataba na bei yake ni ndefu Sana na Simba ameshindwa kumnunua ili kupoteza fukuto la ujio wa Manji maana kuna wanachama walikuwa hawamtaki GSM wanamtaka Manji

Kuongoza Yanga ni rahisi Sana mkuu maana kazi yako wewe wambie tu mnavunja mikataba ya wachezaji,waambie tumenunua top scorer wa Kongo kumbe Kamba, waahidi makombe na ligi ikianza waambie wanaonewa na bodi ya ligi,waambie wanaonewa na marefa,waambie wanaonewa na raisi wa tff basi life cycle ya furaha ya Yanga inakuwa imeisha Hadi dirisha la usajili tena
Hamna klabu ya congo itakayokuachia mchezaji tegemezi free agent,congo utamaduni wao miaka na miaka kucreate wachezaji na kuuza,mayele top scorer vita club na yuko national team,wadanganye huko kwenye vijiwe vya kahawa,Yanga yenyewe kuna mkongo imemuongezea mkataba juzi baada ya kupata offer south na morocco na ndio maana wanatafuta kiungo mkabaji maana jan wanaweza kumuuza
 
Kumbe unaongelea top scorer wa As vita mbona me sikatai, me nilikuwa naongelea top scorer wa ligi ya kuwa sio mayele

Hapo Tu ndio uzuri wa mashabiki wa Yanga unapokuja Yani mkiambiwa kitu na engineer inakuwa Sheria sijui smartphone zenu mnatumia kuingilia Instagram, Facebook na jamii forum Tu, kwahiyo unashindwa kutafuta info kuwa wachezaji wenu ni free agent? Anyway mkuu tuishie hapa mkuu tufanye mmevunja mikataba roho yako iridhike

Anyway nimekuwekea na picha ya top scorer wa ligi ya Kongo angalau uongeze kitu mtani
View attachment 1879012
 
Nani asiemjua top scorer wa congo,mayele ni top scorer wa vita club,na yupo national team,wacongo unawajua vizuri wewe eti mayele awe free agent!unadhani jimmy kindoki yule!
 
Siku sio nyingi utajua Tu ukweli ngoja waendelee kumuongelea
 
Hiiii
Screenshot_2021-08-03-14-38-49-254_com.instagram.android.jpg
 
Nani asiemjua top scorer wa congo,mayele ni top scorer wa vita club,na yupo national team,wacongo unawajua vizuri wewe eti mayele awe free agent!unadhani jimmy kindoki yule!
Nime google profile ya huyo Mayele hamna kitu,Mayele mmepigwa asubuhi na mapema.
Ila tusiandikie mate wakati wino upo,ligi itaanza muda simrefu tutamuona anavyokatika mayeno ndomboro ya solo.
 
Humjui mayele wewe,muulize kaseja alimfanya nini kwa mkapa mwaka huu huu friend match na drc
 
Nime google profile ya huyo Mayele hamna kitu,Mayele mmepigwa asubuhi na mapema.
Ila tusiandikie mate wakati wino upo,ligi itaanza muda simrefu tutamuona anavyokatika mayeno ndomboro ya solo.

Fiston kalala mayele,ligi ya congo kashika namba 2 kwa ufungaji
 
Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho

Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe

Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi

View attachment 1877964
Vipi safari hii hatobebwa mtu kwa machela wakati wa kuwapokea wageni?
 
Back
Top Bottom