Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,354
- 13,136
Kila mwaka mnajenga timuOoh!! Japo niseme hizi kauli zenu ipo siku mtazikataa.
Kila mwaka mnajenga timuOoh!! Japo niseme hizi kauli zenu ipo siku mtazikataa.
Hapo labda Kagere ntashtuka kidogo ila hao wengine hawanasifa kwenye soka la ushindani kimataifa.Kagere, Ajib na Mkude
Mbona Ajib na Mkude mko nao kitambo na tunajua,hamna jipyaKagere, Ajib na Mkude
Ajib tayari anatembea na mkataba wa Yanga ila baadhi ya wanachama wamemkataa hivyo atapelekwa KMC kwa mkopo huku akiwa anakula mshahara wa GSM.Hapo labda Kagere ntashtuka kidogo ila hao wengine hawanasifa kwenye soka la ushindani kimataifa.
Kwani sarpong mlinunua kwa cash au free agent ......... tukumbushane kidogooSindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumzi
Yap yap!! Tunatikisa mji Mtani.
Hongera mtani kumrudisha makamboYap yap!! Tunatikisa mji Mtani.
makambo ndo wakutikisa jiji?Yap yap!! Tunatikisa mji Mtani.
Mnahitaji kiungo mbunifu sio kiungo bekiNdio wanakuja kutengeneza pacha kamili sasa. Yaani kiungo itakuwaje ni Mukoko, Aucho na Feisali, ni wazi hapa anafariki mtu!
Tumechemka ndugu zangu.Klabu ya Yanga kwa kupitia mitandao yake ya kijamii imetangaza kuwa Leo Jiji na Nchi nzima itazizima kwa Usajili itakaoutangaza kesho
Wananchi wanasema wao Wana watu mpaka huko "Upande wa Pili", wamepindua meza kibabe
Tujumuike nami hapo Leo baadae tuone kishindo Cha Wananchi
View attachment 1877964
Mhhh Ila Yanga Kwa kupangwa Tu na kukubali mko vizuri aisee hebu tuanze na Shabani Djuma free,Mayele free, Makambo, Ambundo free dogo wa Ud songo free, huyu Aucho ambae wanataka Yanga na Simba ni free pia kasoro Banda tu, kama Banda mtamchukua hapo kweli itakuwa mmenunua tofauti na hao Mtani hebu nambie ni mchezaji gani ambae mmenunua akiwa na mkataba?Sindano inawaingia taratibu,wanajifanya wanatucheka sisi kusajili kama vile hakuna timu inayosajili vile,hawa uwa wanatuvizia tukimtaka mchezaji wao wanamuwahi,sasa hivi kila tunaemtaka ni wa kununua sio free agent,wameishiwa pumzi
YkipeMhhh Ila Yanga Kwa kupangwa Tu na kukubali mko vizuri aisee hebu tuanze na Shabani Djuma free,Mayele free, Makambo, Ambundo free dogo wa Ud songo free, huyu Aucho ambae wanataka Yanga na Simba ni free pia kasoro Banda tu, kama Banda mtamchukua hapo kweli itakuwa mmenunua tofauti na hao Mtani hebu nambie ni mchezaji gani ambae mmenunua akiwa na mkataba?
Unazijua timu za kongo wewe,yan top scorer wa timu awe free agent!Mhhh Ila Yanga Kwa kupangwa Tu na kukubali mko vizuri aisee hebu tuanze na Shabani Djuma free,Mayele free, Makambo, Ambundo free dogo wa Ud songo free, huyu Aucho ambae wanataka Yanga na Simba ni free pia kasoro Banda tu, kama Banda mtamchukua hapo kweli itakuwa mmenunua tofauti na hao Mtani hebu nambie ni mchezaji gani ambae mmenunua akiwa na mkataba?
Kitu cha kawaida Sana Mzee, na inatokea coz hakuna mtu ambae anajua Nani anaenda kuwa mfungaji Bora wa ligi, ata Kagere Alikuwa mfungaji Bora wa ligi msimu uliopita Ila mkataba wake ilikuwa unaenda mwishoni, baada ya hapo Simba wakakaa tena chini na wakala kufanya biashara ndo akaongeza mkataba mwingineUnazijua timu za kongo wewe,yan top scorer wa timu awe free agent!
Kweli wewe nyani. Kwani mbumbumbu na NYANI nani zaid?Mbumbumbu fc tulieni
Kweli wewe nyani. Kwani mbumbumbu na NYANI nani zaid?Mbumbumbu fc tulieni
Article kubwaaa,mlienda kwa mkaambiwa bei yake mkakimbia,kwa taarifa yako mayele na djuma Yanga imewanunua sema huko kwenu kununua mchezaji ni kitu cha ajabu ndio maana unaleta ligiKitu cha kawaida Sana Mzee, na inatokea coz hakuna mtu ambae anajua Nani anaenda kuwa mfungaji Bora wa ligi, ata Kagere Alikuwa mfungaji Bora wa ligi msimu uliopita Ila mkataba wake ilikuwa unaenda mwishoni, baada ya hapo Simba wakakaa tena chini na wakala kufanya biashara ndo akaongeza mkataba mwingine
The same na mayele na juma hao wote mikataba Yao ilikuwa inaisha mwezi wa 7 kwahiyo baada ya kupaform vizuri msimu uliopita soko lao likaongezeka na kugoma kuongeza mikataba mipya ndio Yanga ikapita nao maana saiz ligi yetu ina maslahi mazuri hivo inavutia wachezaji wengi Tu wa kigeni
Hoja ya kusema eti naijua ligi ya Kongo mie haina mashiko, kama Messi Tu alimaliza mkataba wake Barcelona sembuse mayele mwenye goli 13 za ndondokela wa msimu mmoja? Kwanza jamaa sio mfungaji Bora ligi ya Kongo kama ambavyo mnaokotwa na viongozi wenu, top scorer wa msimu uliopita alitokea Mazembe Jean Baleke akiwa na goli 14 akifatiwa na Mayele mwenye 13, kiufupiHakuna mchezaji ambae Hadi sasa mmenunua akiwa na mkataba labda mkimnunua Banda
Article kubwaaa,mlienda kwa mkaambiwa bei yake mkakimbia,kwa taarifa yako mayele na djuma Yanga imewanunua sema huko kwenu kununua mchezaji ni kitu cha ajabu ndio maana unaleta ligi
View attachment 1878770
Manara sio mjinga Mzee, manara alitumika na GSM kuwahadaa washabiki wa Yanga ili muwaone watu na nusu eti mmevunja mkataba na bei yake ni ndefu Sana na Simba ameshindwa kumnunua ili kupoteza fukuto la ujio wa Manji maana kuna wanachama walikuwa hawamtaki GSM wanamtaka ManjiArticle kubwaaa,mlienda kwa mkaambiwa bei yake mkakimbia,kwa taarifa yako mayele na djuma Yanga imewanunua sema huko kwenu kununua mchezaji ni kitu cha ajabu ndio maana unaleta ligi
View attachment 1878770