Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 220,745
- 728,548
Gazeti la Mwananchi limemnukuu Mchungaji na mwanaharakati wa haki za binadamu Mheshimiwa Mtikila kuwa ataipeleka serikali yetu Mahakama ya Afrika inayoshughulikia haki za binadamu ili kudai serikali ijenge mazingira ya kuandika katiba mpya itakayoshirikisha raia wote katika kuiandika...................................
Huko nyuma Mchungaji Mtikila alikwisha kuahidi kuipeleka serikali yetu Mahakama hiyo hiyo ya Afrika ili kudai haki ya mgombea binafsi ambayo Mahakama ya Rufaa iliirudisha serikalini kufanyiwa kazi badala ya kuwapa wananchi haki tajwa...............