Mtikila kudai katiba mpya mahakamani

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Gazeti la Mwananchi limemnukuu Mchungaji na mwanaharakati wa haki za binadamu Mheshimiwa Mtikila kuwa ataipeleka serikali yetu Mahakama ya Afrika inayoshughulikia haki za binadamu ili kudai serikali ijenge mazingira ya kuandika katiba mpya itakayoshirikisha raia wote katika kuiandika...................................

Huko nyuma Mchungaji Mtikila alikwisha kuahidi kuipeleka serikali yetu Mahakama hiyo hiyo ya Afrika ili kudai haki ya mgombea binafsi ambayo Mahakama ya Rufaa iliirudisha serikalini kufanyiwa kazi badala ya kuwapa wananchi haki tajwa...............
 
Wandugu,
Kama kuna watanzania ambao wamekuwa mstari wa mbele kui-challenge serikali katika masuala ya Katiba basi Mch. Mtikila ni mojawapo. Lakini mbona siku za hivi karibuni simsikii kabisa akizungumzia suala la Katiba!!! Ni nini kimetokea au mimi tu ndiyo sijamsikia??
 
Namwaminia na najua anaweza. Pia asisahau kudai Tanganyika maana kuwalipa marais watatu Zanzibar kwa kodi yetu ni mzigo mkubwa
 
Mtikila anaanza kuzeeka. Nadhan anataka vijana tusaidiane nae ili asijezeeka akaacha ombwe la wanaharakati. Amka chukua hatua.
 
Kama ni Mtikila wa kabla na nyakati za *********- yes; lakini siyo huyu wa sasa-huyu wa sasa ni money monger!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Asipopatikana mtu wa kumfadhili ndiyo ameishia kwenye title ya thread hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wandugu,
Kama kuna watanzania ambao wamekuwa mstari wa mbele kui-challenge serikali katika masuala ya Katiba basi Mch. Mtikila ni mojawapo. Lakini mbona siku za hivi karibuni simsikii kabisa akizungumzia suala la Katiba!!! Ni nini kimetokea au mimi tu ndiyo sijamsikia??

This will soon claimed to be unsung HERO of Tanzania, we will list his achievements and his legacy. Believe me many opposition leaders apart from speaking they have not any remarkable thing for TAnzania, they are just taliking and planning!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom