Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

Kuna mkurugenzi mmoja hivi idara ya Maji hapa hapa ni Mtusi bila kupepesa macho, yawezekena akawa ni mtanzania mzaliwa lkn kwa kumwangalia Mara moja tu ni tusti org, na kashaanza kuweka wenzake ,yasemekana kuwa ni Wasukuma japo ni tutsi pure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ONYO...WARAKA NI MREFU SANA ,SOMA HADI MWISHO NDIPO U COMMENT HASWA MA ROBOT YA LUMUMBA.Najua huu waraka ulishawekwa huku 2013 ila ni muhimu kuusoma tena kutokana na hali halisi ya sasa haswa ukichukulia huyu mtu siku hizi ni mshauri wetu kuhusu mambo ya ndege za ATCL na kutuletea wataalamu wa Information technology.

...
 
Asante kaka nishawahi kuusoma kabla JPM hajaingia madarakani muda mwingine ukiunganisha dots za kitabu cha body guard wa Kagame na aina ya kifo cha Mtikila hakika utamuogopa Kagame
 
Kaka nzagambadume niliomba link ya kile kitabu cha pili unitumie WhatsApp lkn wadau wakaja na hoja dhaifu nataka kudukua mawasiliano yako. Naomba unitumie link pekee pm bila namba zetu za simu
 
Namnukuu marehemu mtikila........

1. Kagame amemwaga kinyama sana damu ya mamilioni ya Wahutu, ambao bado anaendelea kuwaua usiku na mchana, kuliko Adolf Hitler alivyowaua Wayahudi.
2. Kagame anaendesha mauaji dunia nzima, kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort, ambacho ndicho alichotumia hata kumwangamiza Bingwa wetu wa Sheria, Hayati Profesa Jwani Mwaikusa, kwa kosa la kuweka wazi katika ICTR kwamba mtuhumiwa mkuu wa genocide katika Maziwa Makuu ni dikteta Paul Kagame. Kagame alihofia kwamba kutokana na majumuisho ya mwisho ya Mwanasheria huyo, lazima Ulimwengu ungelazimisha kukamatwa kwake na kufikishwa mbele ya Sheria.
3. Kagame akiwa na cheo cha Meja alikuwa mstari wa mbele kumwua Rais Thomas Sankara wa Burkina Faso, kule Uagadougou.
4. Kagame alikuwa Burundi kwa ushirikiano wake muhimu na Jean Bikomagu, katika mauaji ya kikatili sana ya marehemu Rais Melchior Ndadaye.
5. Kagame ndiye aliyehusika kikamilifu na utunguaji wa ndege iliyomchukua Rais Juvenal Habyarimana wa Rwanda pamoja na Rais Cyprien Ntaryamira wa Burundi.
6. Kagame analaaniwa na dunia nzima kwa kumfanyia unyama wa kutisha mwanasiasa mwanamke, shujaa Victoire Ingabire, ambaye amemtupa gerezani kwa kosa la kugombea Urais wa Rwanda akiwa Mhutu, na kosa la kuwa na kibali kwa wananchi wa Rwanda kuliko yeye aliyeloa damu ya mamilioni ya binadamu aliowaua kinyama.
7. Kagame amemwaga majasusi zaidi ya 1,000 katika Nchi yetu, wanaotumia ufisadi wa mapesa, ngono n.k katika kutengeneza mazingira ya kutekwa utawala wa nchi yetu na Watusi na hatimaye nchi yetu kuwa mkoa wa Himaya yao. Kama ilivyoelezwa juu, maelfu yao wamefanikiwa kujipenyeza katika taasisi zote nyeti za dola ya Nchi yetu. Walipoishika Uhamiaji waliitumia kujipa uraia na kukamata nafasi nyeti na ardhi yetu pia.

8. Maelfu ya majasusi wa Kagame wanajifanya wanashughulikia mizigo ya Rwanda na Uganda, wengine wanajifanya wafanyabiashara au wanatafuta kuwekeza, wengine wanajifanya wanafunzi. Lakini ukweli ni kwamba Taifa letu liko uchi kwa Kagame, kwa sababu kila tunachokifanya katika Nchi yetu kinaripotiwa Rwanda masaa 24. Katika Jiji la Dar es Salaam, Mikocheni ndiko walikojaa Wanyarwanda hao kama kwao.
 
Mkuu acha woga Tanzania ni Dora kubwa kushawahi kuwa na wasomali katika taasisi nyeti na wengine ni mabilionea na hatujawahi kuwa chini yao.
 

Sawa we muache. Tu
 
Mtikila alikufaje, alafu nawashangaa hao ni kwamba tumewahifadhi tu huko wachunge ng'ombe zao

Mtu atoke rwanda aipindue nchi yangu,aue damu zangu, namuangamiza kwa mkono wangu mwenyewe.
 
Ikijaribu kuleta fyoko tunaigeuza mkoa dk 2 tu, wale ndio wanawapa hongo viongozi wanaipokea wanawakatia eneo kubwaa,sasa pale wanachi wasipojulishwa ndio wakifika uko wanauwawa na si kwamba wanatoka rwanda to direct ktk mbuga zetu wee watafanyiwa mazoezi ya kivita
 
Tanzania wamejaa watu wengi Tu kwenye asili tofauti tofauti kuna wahindi, waarabu, wasomali nawengine kibao kwaiyo hao watutsi wasikupe shida.
 
Nimejitutumua kusoma chote naweza kusema kitu hapa.

Dunia bado ni mahali salama kwa binadamu kuishi, ila binadamu ndiyo wanaofanya dhulma na kuifanya dunia isiwe sehemu inayopendeza na salama kuishi.

Kanisa, Siasa, Imani na Uongozi ni vitu vinavyofuatana kwa maisha ya kila siku na nimeona vikiungana, japo maandiko yanasema "... vya kaisari mpe kaisari na Mungu mpe Mungu"

Naendelea kuogopa viongozi wa siasa wanatumia imani/kanisa kupenyeza siasa na kuonekana wanyofu mbele za dunia.

Najua Mungu hawezi kuingilia kati haya yanayotokea maana alisema "acheni ngano na magugu vikuwe pamoja... "

“Hakika Nyerere anatawala maiti” Ndiyo maana ni Watanganyika peke yao duniani wasiojali uhuru wao, wala hatima yao na vizazi vyao vijavyo, wala maslahi ya Nchi yao!

➡ Juzi kulikuwa na kumbukizi la Rwanda Genocide niliona giza la kuwaadaa walimwengu dhidi ya kisa kile, nafsi ilisita japo ndiyo hivo lilifanyika.


NOTE: Hakuna dhambi iliyoanza yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…