Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Mwamuzi hatakiwi kuwa mtu anayetiliwa shaka kuwa anaweza kupendelea upande fulani. Ocampo four umeki kweli Lubuva ni ngugu wa mama Regna... hapa Lubuvu lazima atiliwe shaka kuwa anaweza kumpedelea mkwewe...dawa ni kujiuzuru...
 
Watangazaji wengi wamehamia AZAM,amebaki Dotto Bulendu.Continental receiver nitaitumia wakati wa Bunge tu,wewe vipi...???

Unajificha jua kwa kivuli cha fimbo. au kama mbuni akina gari anafunika kichwa chini. Ukweli kuna tatizo huko ukawa.
 
Acha kupotosha kama vile hatukuona mahojiano? Wapi alitoka nje ya hoja? Ili hali hoja zake zilisababisha hadi jamaa wa ukawa wakaanza kupigana wao kwa wao hadi matangazo yakarudishwa Mwanza? Tatizo lenu huwa mnapenda hadithi za kurembwa, ninawahakikishia hadi 25/10 mtakuwa na 2% za ushindi, wananchi wameishafahamu ulaghai wenu - ushauri wa bure nadhani kwa usalama wenu mjitoe kwenye midaharo au live interview zote, mtaumbuka

Nilikiliza kidogo na hapa alitoka nje 100%


Alipoulizwa nin mikakati yake kudhibiti rushwa ilala ilikuclfanya maendeleo.

Narudi mikakati yake.


Badala ya kuelezea mikakati yake yeye huyoooo kaacha swali karukia sumae na lowasa driiiiiii mpaka mda ukamwishia.

Hapa ndipo nilipochoka. Nikaishia jucheka tu.

Huyu ukimuliza 3x3 atajibu 6. Kwake hakuna tofauti kati ya x na +.
 
Mtikila anaongea fact kweli,ungiangalia kwa sasa ukawa hata clips za mgombea wao hawaonyeshi,jamaa hata hajulikani anaongea nini maskini,wanaokwenda kwenye mikutano wanasikitika sana

Udhaifu huo unajibiwa kwa fumbo la push up nne, mwenye akili anapambanua.
 
Kama ulikuwa hujui kuwa POLITICS IZ A DIRTY GAME basi tuachie tunaoweza kuucheza mchezo...~@KIOO.

Siasani hakuna adui wa kudumu wala hakuna rafiki wa kudumu.
 
One day zitapigwa studio na sababu zitakuwa ni waendesha kipindi.Wakongwe kama Jenerali Ulimwengu..Tido Mhando msiwe wachoyo na ujuzi wenu...andaeni semina na mafunzo kwa hawa watangazaji wapya.
 
Startv inaelekea kusahaulika kwa wengi labda wapenzi wa futuhi watabaki siku moja kwa wiki kuiangalia. Ijiandae kupelekwa The Hague kujibu mashtaka ya kuuvuruga umoja na mshikamano wa watanzania. Hivi huwa hawawaoni wataalamu wengine wa masuala ya siasa na uchumi wasikuwa na upande ili wawaelimishe wananchi zaidi ya kuwaalika hao wachumia tumbo? Mchange. Polepole na Mtikila njaa zitawaua na kuleni za mwisho.
 
Tena akome kujiita mchungaji. Labda mchungaji wa mashetani,tangu lini mchungaji anayeijua biblia vizuri akahukumu? Mchungaji uchwara huyo anatumikishwa na yuko kazini kubomoa mabadiliko,hafai.

Mchungaji anapaswa kuwa baba wa shauri jema! Si busara kung'ang'ana kumwombea mtu anayeumwa malaria badala ya kumpeleka hospital. Hivyo hivyo si busara kumpigia Kampeni mtu ambaye hata mudu kutekeleza majukumu anayoyaomba.
 
Kuwa na afya, kuumwa na kufa yote ni ya Mwenye ez mungu, haifai na ni dhambi kubwa sana kumsema vibaya marehemu na hata mgonjwa. Hakuna anayeijua kesho yake. Hao wote tunaosema eti wagonjwa leo jana walikuwa na afya njema kabisa. Waliokufa leo, jana walikuwa wazima. Tofauti zetu za itikadi za kisiasa zisitufanye tusahau kuwa siye ni binadamu na tumeumbwa na mwenye ez mungu. Mungu aliahidi kutupa mitihani mbalimbali ikiwemo maradhi na kifo. Hivyo ukiwa na afya njema leo mshukuru mungu na usimcheke anayeumwa kwani nae alikuwa na afya njema jana. Pia wewe unaemsema mwenzio anaumwa wakati hujaenda kupima afya yako ni mwendawazimu.

Tehtehteh mbona mnazunguka. Ukweli ni kwamba jamaa anaumwa, nadhani hilo hata wewe unalifaham...wala kuumwa c ajabu LAKINI ajabu inakuja pale mgonjwa anapolazimisha "kufanya kazi" wagonjwa huwa wanaachwa wapumzike jaman... Hata wewe ukiugua huwez kwenda kazini na hata boss akigundua hali yako kiafya ni lazima atakushauri kutafuta tiba nzuri kwanza.... Jaman URAIS ni kazi tena kazi kubwa na nzito hivyo itakuwa ni ukosefu wa utu kwa sisi kung'ang'ania eti anaeumwa ndo akaifanye!! Sio utu kabisa.. Kwa hiyo Watz wanapokataa lowasa kuwatumikia as rais.. Ni huruma yao kwake.. Wala msitafsiri tofauti bali mjue tu kuwa Watz ni waungwana sana... Anaeumwa huwa hatumwi kazi..
 
Tehtehteh mbona mnazunguka. Ukweli ni kwamba jamaa anaumwa, nadhani hilo hata wewe unalifaham...wala kuumwa c ajabu LAKINI ajabu inakuja pale mgonjwa anapolazimisha "kufanya kazi" wagonjwa huwa wanaachwa wapumzike jaman... Hata wewe ukiugua huwez kwenda kazini na hata boss akigundua hali yako kiafya ni lazima atakushauri kutafuta tiba nzuri kwanza.... Jaman URAIS ni kazi tena kazi kubwa na nzito hivyo itakuwa ni ukosefu wa utu kwa sisi kung'ang'ania eti anaeumwa ndo akaifanye!! Sio utu kabisa.. Kwa hiyo Watz wanapokataa lowasa kuwatumikia as rais.. Ni huruma yao kwake.. Wala msitafsiri tofauti bali mjue tu kuwa Watz ni waungwana sana... Anaeumwa huwa hatumwi kazi..

Wewe ni daktari wake? yeye mwenyewe amesema haumwi we unasema anaumwa, labda utuambie kama ni 'ka small house kake', maana haueleweki.
 
Mch machachari Mch Christopeher Mtikila akiwa katika studio star TV leo asubuhi katika kipidi cha tuongee amesema kwamba Jaji Lubuva ni mkwewe Lowasa. Alizungumza hiyo habari kufuatia kitendo cha kampeni alizozifanya mgombea Urais kuiptia Ukawa alipokua ziarani Tabora pale aliposema kuwa hii ni zamu ya warutheri kuongoza nchi. Pamoja na hayo mambo mengine aliyaongea ni juu ya kauli za viongozi waandamizi wa UKAWA ambzo zinatoka katika kauli ndimi moja lakini zinatofautiana. Mf kauli ya Mgombea Urais kupitia Ukawa alipokuiwa CCM alisema ‘’ Rais kikwete ni Visionary Leader ana uwezo wa kuona mbali’’ na alipotoka CCM akiwa ukawa akasema “Rafiki yangu Jakaya Mrisho Kikwete, kahuaribu uchumi wa nchi” Pia Mhe Fredrick Sumaye’’ Enadpo CCM itampitisha Lowasa kugombea Urais mimi nitahama chama” na alipokuwa ameama CCM akasema” Lowasa anastahili Urais yeye ndiye Jemedari wetu” Kauli ya Tundu Lissu “CCM wamempatia Fisadi Lowasa Fomu ya ugombea Urais, Ni hatari’’….leo amegeuka kua mpiga debe mkuu…. Kauli ya Mnyika “ Nina Ushahidi wa kutosha kuhusina na ufisadi na wizi wa Lowasa na Rostam… Mwisho akasema ata mchungaji mwenzake Mh Peter Msigwa anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili leo amegeuka kuwa mpiga Debe mkuu… Akasema kauli tofauti katika vinywa hivyo haviwezi kuongoza fikra za watanzania…..hizo ni mbinu za kuwania madaraka wakipata madaraka wanaanza kuwa na lugha za utetezi…. Na alipoulizwa kuwa inawezekana amenunuliwa na CCM kutokana na kauli yake ya kusema mgombea wa CCM John Pombe Magufuri ana nafuu kuliko Mgombea wa UKAWA…akajibu yeye anaendelea kusisitiza kuwa hawa wagombea wote wana matatizo ya kiafya lakini mmoja ana nafuu au matatizo yake mpaka uyafanyie research huyu mwingine hata ukiwa mjinga kiasia gani unamuana kabisa ubongo umepoteza mawsiliano na mwili mpaka wakati mwengine choo kinatoka chenyewe..hivyo Ikulu siyo Hospital….. Akasisitiza kuwa CCM imemuweka ndani mara kadhaa zaidi ya mara 40 hawezi kuwamsemaji wao hata kidogo…..

Mbona hazungumzii mabaya ya ccm?nayeye kama polepole ana jicho moja
 
na ww ni muha mwenzake, mwambie umaarufu wa kisiasa hautafutwi vile

mwache aropoke maana ujinga ni mtaji kwa ukawa na pia siku ya uzinduzi alisahihishwa na kiongozi mkuu kuwaomba msamaha wana mbagala kama ni msema ukweli kwann kiongozi mkuu awaombe radhi wananchi?kijana mropokaji sana akili yake pumba
 
Unajificha jua kwa kivuli cha fimbo. au kama mbuni akina gari anafunika kichwa chini. Ukweli kuna tatizo huko ukawa.

Good.....kama kuna tatizo huko Ukawa,solution ni kutafuta ufumbuzi na siyo kumwaga mitusi na kashfa na kumbeza MwenyeziMungu.
 
Hivi tukianza kuhesabu ndugu wa JMK,JPM na Viongozi waandamizi wa chama na serikali waliopo kwenye idara nyeti kweli tutamaliza leo?Naona Christopher Mtikila amebaki kuwa joka la kibisa,hana madhara tena,CCM wenyewe ndio waliomtoa meno,leo wanataka atutishe "Wana Mabadiliko wa ukweli"..#HapaZikaCcmTu!!
 
hivi kuna watu bado wanamsikilizaga mtikila.
kwa picha hii inadhihirisha ukweli kuwa ccm imeishiwa mbinu.
 
Mtu anayezingatia anachosema mtikila mwangalie mara 2. Mmoja wapo ni wewe mleta mada, heading na content havina mawasialiano
 
Back
Top Bottom