Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Mchange hana jipya kila anapoitwa studio yeye mbaya wake ni CHADEMA tu na ni mkakati wa makusudi kabisa wa startv kupotosha umma ili walau kuisaidia sisiemu lakini wamechelewa watanzania wana hitaji mabadiliko.

Alafu sasa iv ndo anajionesha kabsa kwamba nia yao na zito wakt wako chadema haikuwa mzur
 
Anapendwa Sana na watu kwasababu ya ukweli anaoongea! Ni kijana wa kuigwa Kabisa Hata Bavicha Wote wanajua ni kichwa na mkweli!
 
UKAWA ina kila aina ya virusi

Ufisadi kwa viongozi
Unafiki mkubwa.viongozi wamekaa ccm mda wote.baada ya kuenguliwa ndipo wanacharuka
Afya mbovu
Udini wa wazi na ukanda
Kutelekeza viongozi wakuu Lipumba na Slaa

§§UKAWA haifai kabisa.
 
Anasema mwenyekiti wa tume ni mkwe wa lowasa ndiyo maana hakumnyima fomu ya kugombea urais.

Swali je mwenyekiti wa tume Jaji Lubuva angemnyima kwa vigezo gani.

Mtikila anataka tuwe na mashaka na mwenyekiti wa tume na maamuzi yake.

Hafai mtikila.

Mkewa Lowasa ajitokeze akanushe sio Mbatia
 
Hana shule achana naye huyo! Watu wNazungumzia afya yeye anatoks nje ya mada! Yaani huyu mtu ni kama kuku hajielewi kabisa.

Maana ya Shule Ni kujitambua na kufikiri tofauti zaidi ya wenzako...... Sasa yeye vigezo hivyo anavyo sasa shule gani wataka?
 
Mchange hana jipya kila anapoitwa studio yeye mbaya wake ni CHADEMA tu na ni mkakati wa makusudi kabisa wa startv kupotosha umma ili walau kuisaidia sisiemu lakini wamechelewa watanzania wana hitaji mabadiliko.

Kweli Lakini anachokisema Kwani CHADEMA ni malaika?
 
Swala la afya lipo mikononi mwa Mwenyezi Mungu,hakuna ajuaye sana juu ya nini kitakua kwa afya yake,mtikila achunge kauli yake.

Mungu ndio mwamuzi wa yote.
 
Mchange mbona hazimtoshi toka siku nyingi kaasilika kisaikolojia toka alipo fukuzwa cdm maajabu ya tanzania etiii ni meneja kampeni wa mgombea urais wa act..hivi zitto mko siriaz kweli?
 
Watangazaji wengi wamehamia AZAM,amebaki Dotto Bulendu.Continental receiver nitaitumia wakati wa Bunge tu,wewe vipi...???
 
Jamani mtikila hazimtoshi ndio maana tarime walimpiga mawe ccm wanao mshabikia wakumbuke maneno yashombo aliyo wahi kuongea kuhusu mwalimu NYERERE ifike mahari studio wapigwe stop kualika watu wa hovyo hovyo
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom