ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Mtikila yupo sahihi kabosaa
Unaonaje nyie mnaomuunga mkono mkaunganisha nguvu. Ingieni DP ama mtakuwa na sifa zote za UNAFIKI
Mtikila yupo sahihi kabosaa
Sema wewe siyo sisi........
Mchange hana jipya kila anapoitwa studio yeye mbaya wake ni CHADEMA tu na ni mkakati wa makusudi kabisa wa startv kupotosha umma ili walau kuisaidia sisiemu lakini wamechelewa watanzania wana hitaji mabadiliko.
Kwel wote mnaomshabikia lowasa msaidienn akatibiwe india
Mtikila anaongea fact kweli,ungiangalia kwa sasa ukawa hata clips za mgombea wao hawaonyeshi,jamaa hata hajulikani anaongea nini maskini,wanaokwenda kwenye mikutano wanasikitika sana
Mch machachari Mch Christopeher Mtikila akiwa katika stdio star TV leo asubuhi katika kipidi cha tuongee amesema kwamba Jaji Lubuva ni mkwewe Lowasa.
Alizungumza hiyo habari kufuatia kitendo cha kampeni alizozifanya mgombea Urais kuiptia Ukawa alipokua ziarani Tabora pale aliposema kuwa hii ni zamu ya warutheri kuongoza nchi.
Pamoja na hayo mambo mengine aliyaongea ni juu ya kauli za viongozi waandamizi wa UKAWA ambzo zinatoka katika kauli ndimi moja lakini zinatofautiana.
Mf kauli ya Mgombea Urais kupitia Ukawa alipokuiwa CCM alisema Rais kikwete ni Visionary Leader ana uwezo wa kuona mbali na alipotoka CCM akiwa ukawa akasema Rafiki yangu Jakaya Mrisho Kikwete, kauharibu uchumi wa nchi
Pia Mhe Fredrick Sumaye Endapo CCM itampitisha Lowasa kugombea Urais mimi nitahama chama na alipokuwa ameama CCM akasema Lowasa anastahili Urais yeye ndiye Jemedari wetu
Kauli ya Tundu Lissu CCM wamempatia Fisadi Lowasa Fomu ya ugombea Urais, Ni hatari .leo amegeuka kua mpiga debe mkuu .
Kauli ya Mnyika Nina Ushahidi wa kutosha kuhusina na ufisadi na wizi wa Lowasa na Rostam
Mwisho akasema ata mchungaji mwenzake Mh Peter Msigwa anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili leo amegeuka kuwa mpiga Debe mkuu
Akasema kauli tofauti katika vinywa hivyo haviwezi kuongoza fikra za watanzania ..hizo ni mbinu za kuwania madaraka wakipata madaraka wanaanza kuwa na lugha za utetezi .
Na alipoulizwa kuwa inawezekana amenunuliwa na CCM kutokana na kauli yake ya kusema mgombea wa CCM John Pombe Magufuli ana nafuu kuliko Mgombea wa UKAWA akajibu yeye anaendelea kusisitiza kuwa hawa wagombea wote wana matatizo ya kiafya lakini mmoja ana nafuu au matatizo yake mpaka uyafanyie research huyu mwingine hata ukiwa mjinga kiasia gani unamuona kabisa ubongo umepoteza mawasiliano na mwili mpaka wakati mwengine choo kinatoka chenyewe..hivyo Ikulu siyo Hospital ..
Akasisitiza kuwa CCM imemuweka ndani mara kadhaa zaidi ya mara 40 hawezi kuwamsemaji wao hata kidogo ..
Hana shule achana naye huyo! Watu wNazungumzia afya yeye anatoks nje ya mada! Yaani huyu mtu ni kama kuku hajielewi kabisa.
naomba mnielekeze kanisa lake tafadhali nikasali huko
Ukweli unamaumivu makali sana bora uchapwe viboko.Change anaongea kweli na ndio maana mnamchukia
Kwa hiyo CCM hawana imani na tume.Mwamuzi hatakiwi kuwa mtu anayetiliwa shaka kuwa anaweza kupendelea upande fulani. Ocampo four umeki kweli Lubuva ni ngugu wa mama Regna... hapa Lubuvu lazima atiliwe shaka kuwa anaweza kumpedelea mkwewe...dawa ni kujiuzuru...