davidson689
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 646
- 158
Yapo maswali hayana majibu unless u assume,hiyo mitihani unakuta imekosewa sana kwenye hesabu za maelezo mfano ankra na zingine kiasi kwamba huwez kupata mia kabisaaaaaaaaaa, mfano ukute swali watu 4 hulima shamba la hekari 2 kwa siku 5,je itatumia muda gani bomba lenye kipenyo cha mm 2 kujaza tenki lenye ujazo huo huo? Huu ni mfano tu wa madudu ya mitihani so huwez kupata hata kama ni profesa
Haya sasa naanza kujibu swali.
Assume watu 4= bomba la mm 4
Assume hekari 2 = lita 2 mbili za ujazo.
Bomba la mm 2 = siku ?
twende sasa leteni majibu.
Hahahaha siwezi kukosa majibu.
