baro
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 3,407
- 4,943
Hata mwakyembe?
mwakyembe ni artist so mathematician kwa hyo hapo yeye hajui kitu japo mtihani aufanyiki
Hata mwakyembe?
mwakyembe ni artist so mathematician kwa hyo hapo yeye hajui kitu japo mtihani aufanyiki
Kumbe tanzania hakuna maprofesa zaidi ya wanaojionyesha show kwenye maTV tu!
Hajajitokeza hata mmoja kudai aufanye huo mtihani. AIBUUUUUU! Maprofesa njaa na mavi yamewajaa vichwani na matumboni!! Si lolote. Sasa hivi nikimwona mtu anajiita profesa, namwuliza-VIPI KALE KA MTIHANI KA MBATIA UNAKAWEZA?????
Mh. Mbatia embu tupatie na sisi ma profesa wa JF huo mtihani, milioni kumi jibu litapatikana tu