Uhakika mkuu, hamna swali lisilokuwa na jibu aulete hapa JF
kwani ye ni mjingatena tulivyokuaa na njaaa hiyo 10mln tunaichukuaaaa kiulaini sana
Mh. Mbatia embu tupatie na sisi ma profesa wa JF huo mtihani, milioni kumi jibu litapatikana tu
Mbatia amesema hauwezi kufanyika kwa jinsi ulivyotungwa na sio kwa jinsi ulivyo MGUMU kwa hiyo kwa jinsi ulivyotungwa hauwezi kuwa na MAJIBU.
Kumbe tanzania hakuna maprofesa zaidi ya wanaojionyesha show kwenye maTV tu!
Hajajitokeza hata mmoja kudai aufanye huo mtihani. AIBUUUUUU! Maprofesa njaa na mavi yamewajaa vichwani na matumboni!! Si lolote. Sasa hivi nikimwona mtu anajiita profesa, namwuliza-VIPI KALE KA MTIHANI KA MBATIA UNAKAWEZA?????