Mtihani wa Kimataifa wa Kiingereza!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa Kimataifa wa Kiingereza!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ligogoma, Aug 31, 2011.

 1. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 2,136
  Likes Received: 850
  Trophy Points: 280
  Habari wana JF?

  Kuna jamaa yangu aliapply kazi za uandishi wa habari wa kimataifa (vyombo vya kimataifa kama BBC, CNN, Aljazeera, etc) alipofanya interview (ya kazi) yao walimjibu kuwa tatizo lake hana Kiingereza kilichonyooka. Hicho ndicho kilichomuangusha!!!

  Mimi jamaa namkubali kwani anaandika makala kibao za Kiingereza kwenye magazeti ya Kiingereza na pia amefanya interview (mahojiano tu) nyingi sana za kiingereza kwenye vyombo mbalimbali nchini, kikwetu hapa yupo vizuri sana naweza sema!!!

  Jamaa anatafuta chuo cha ukweli cha kunyoosha hicho Kiingereza chake kiwe cha Kimataifa kwa hapa nchini, wapi tunaweza kupata chuo cha namna hiyo hapa nchini achilia vile vyuo vya mitaani vya kujifunza kuongea!!!!

  Msaada tafadhali wana JF!!!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kiingereza cha kimataifa ndo kipi hicho?
   
 3. kwempa

  kwempa Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tell him to read more English articles, practice speaking English with people a bit above him and listen English channels. I guess his problem is in pronunciation. thank you
   
 4. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tell him to see Mr Fareed Zakaria for consultation. The guy is very open to meet anybody and at the same time he's easily accessible
   
 5. N

  Ngo JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  RAJ PATEL JR; Tell him to see Mr Fareed Zakaria for consultation. The guy is very open to meet anybody and at the same time he's easily accessible

  Mkuu unasema akamwone Fareed Zakaria (GPS) kwa hapa bongo ataonana naye wapi? Pia hujampa na contacts zake. Sidhani pia kama Fareed Zakaria ni Mwalimu wa Kingereza japo ni mzuri kwenye masuala ya politics na International affairs. Kama ni accent sidhani pia kama ni msaada maana naye kingereza chake kimejaa accent ya kihindi. Kama anaweza aende akajifunze huko ambako Kingereza ni lugha mama na siyo chetu hapa ambacho ndimi zimeshakomazwa na lugha mama zetu.
   
 6. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Fareed's contacts can be found in CNN, Warner Bros or Newsweek websites. I know someone who applied and did some kind of internship at CNN/GPS. Once your application for internship at GPS is processed and approved, then you can seek a visa at a US consolate.
  Also you can try to find Ali Velshi's contacts. This CNN's up and coming Ali Velshi is a native of Kenya. He's currently a senior Financial correspondent at CNN New York bureau. He frequents Kenya and Uganda for vacation. Find out where he stays during his visits to Kenya, and I'm pretty sure once you get an opportunity to meet him, he'll be of a great help
   
 7. S

  Said maneno Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwambie aende british councl pale atapata alichokosa hii ni kutokana na wa2 mbl2 mfano kuna jamaa mmoja alikuwa anaongea language ya ukweli lkn alipofika pale akaonekana bado shallow n then akapewa tena cause.
   
Loading...