Mtihani wa Kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa Kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jafar, Oct 4, 2010.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu.

  1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi?

  2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni.....

  3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa?

  4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
  wake unatokana na nini, ni................


  5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
  bora! ni.............

  6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni..........

  7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
  kiherehere chao ni...........

  8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu ni.........

  9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
  kwake kujinadi wakati wa kampeni ni..........

  10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake...............

  11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........

  12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni..............

  13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu?

  14. Ni rahisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka?
   
 2. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ni Raisi gani duniani aliyewahi kukataa kura za wafanyakazi wote nchini kwake wakati muda wa uchaguzi umekaribia?
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ni rais gani wa kwanza dunianialiyesema hana trilion sita za kulipa wafanyakazi kwa sababu mapato ya serikali ni t.tano lakini kwenye kampeni anaahidi karibu trilioni mia na ishirini?
   
 4. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ni Jayaak Mshori Kkiwete. Nimeandia hivi makusuni yasije nikuta ya Bashe japo nimezaliwa wanging'ombe nikaambiwa mimi ni mrwanda:hand:
   
 5. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  Maswali ya chama cha chadema oooh sorry wafuasi wa chadema kuna wakati yanatia kichefuchefu hata unashindwa kuelewa ni chama kipi kitakwenda kuwakomboa wananchi!!!! Nilifikiri chadema wamepona na kuongelea watu badala ya kero na matatizo ya wananchi kumbe si chama mbadala. Chagua Kikwete, Chagua CCM hakuna chama mbadala
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ni prezidaa gani katika dunia hii ambaye anatumia JESHI (Militia) lenye mizinga na vifaru na makombora kwenye kazi za POLISI(eg ?kukamata waleta fujo mitaani, na kulinda maboxi ya uchaguzi?)
   
 7. KAZIMOTO

  KAZIMOTO JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 1,073
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .

  chama chenye matusi kama haya kinyimwe kura. wakiingia ikulu ndio watatukana sana wananchi.
   
 8. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi? Jakaya

  2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni..... Kikwete

  3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa? Mrisho

  4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
  wake unatokana na nini, ni................ jakaya Mrisho Kikwete


  5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
  bora! ni............. Kikwete

  6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni.......... Jakaya

  7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
  kiherehere chao ni........... Mrisho

  8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu ni......... Dk jakaya

  9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
  kwake kujinadi wakati wa kampeni ni.......... Jakaya

  10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake............... Jakaya

  11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........ Jakaya

  12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni.............. Jakaya

  13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu? Jakaya

  14. Ni rahisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka? jakaya.


  Mwalimu, mbona majibu ya maswali haya yanafanana?
  Kazimoto anasema maswali haya ni matusi. Hii si haki. Tusi ni lipi na ukweli ni upi? Au ndo ile "Ukweli unauma"
   
Loading...