Mtihani Wa darasa la Saba

Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Maisha yanakwenda kwa kazi sana 2012 ndio ulimaliza lasaba duh wakt mim hapo ndio Niko kazin
 
Huo ni mfumo wa OMR na ulianza kutumika mwaka 2012,na penseli ya HD inatumika kushedi sehemu ya jibu sahihi,na siwezi kuficha mwaka 2012 nilimaliza darasa la saba sisi tulikua wa kwanza kutumia mfumo huo,kwa hiyo sio jambo geni kwa sasa.
Doooh Ndo mana siredi za ajabu ajabu zimekuwa nyingi humu jf
 
Back
Top Bottom