Mtihani mkubwa katika maisha yangu

Mtihani mkubwa katika maisha yangu

exactly...!!

Kwanza mimi time ya kumchunguza mchunguza mke wangu sina nayo kabisa

me nahakikisha kila kile anachostahiki kupata nampatia

me dume la kiafrika kweli kweli,,namvisha,namlisha,namlaza,nampa kila kitu stahiki

last but not least pipi ya kijiti ni hadi aseme yeye basi

kila anapohitaji inakua pale kwa ajili yake,,wala haihitaji starter..

Hili ni la muhimu sana, na ukitekeleza haya huna haja ya kumchunguza au kubabaika na mkeo!
Kwani maoni yake yanatosha kukujengea imani. kama hufanyi kazi vizuri pia utamsikia akisema wazi2!
wewe unaongana wa jamii ya wanaume wanao watendea haki wanawake! wengine huzarau hili!
Big up! Big show!
 
hili ni la muhimu sana, na ukitekeleza haya huna haja ya kumchunguza au kubabaika na mkeo!
Kwani maoni yake yanatosha kukujengea imani. Kama hufanyi kazi vizuri pia utamsikia akisema wazi2!
Wewe unaongana wa jamii ya wanaume wanao watendea haki wanawake! Wengine huzarau hili!
Big up! Big show!



yaah man
karibu sana tabata mkuu
wasalimie sinza kwa wajanja huko...
 
Nilipokuwa nachungulia kwa nje kupitia dirishani mke wangu akiwa anaosha vyombo kwa njee. Alipita kijana moja, ile mke wangu kumuona tu, akawa kama kabanwa na mkojo. Mara glass iliyomkononi mwake chini. Hawakuongea kitu chochote, kijana yeye alikuwa na hamsini zake.
Wadau, nashidwa nianzie wapi au nipige kimya tu kama sijaona kitu.


Unatakiwa usiongozwe na hisia zako tafuta kujua uhalisia/ukweli kabla hujafanya judgement! Suala la glass kudondoka ni kitu cha kawaida sana!Pia jiamini kama ni mke wako ni wako tu kwa nini kwanza ukae unamchungulia au humuamini? Acha woga kijana,jiamini na timiza majukum yako kama baba na unapohisi kuna kitu huelewi ni vizuri ukauliza badala ya kukaa na hisia hisia tu ambazo hazina msingi wowote!!!!!!
 
chief...

mie huwa napenda-ga kupita katikati ya mistari na maneno watu wanayoandika hapa...naomba nichambue kila nilichokiona:-

1- unaitwa kwamtoro-hapo nilipobold na black- hii inaashiria either ulikotokea/ulikokulia/unakoishi...soo naamini unaishi karibu na msikiti wa kwa-mtoro

2- hapo nilipobold red- inaonyesha usivyo-mwamini mkeo au kujiamini mwenyewe mpaka ukaamua kumpiga chabo/kozi

3-hapo nilipobold na blue color napata wasiwasi na hisia zako..wewe mwanaume huwezi kujua hisia za mwanamke aliyebanwa na mkojo...je kama alikuwa anasumbuliwa na tumbo la kike ulijuwaje?

4-hapo nilipobold na magenta color...nadhani hata uelewa wako jinsi vyombo vinavyokoshwa ni mdogo sana...vyombo hukoshwa kwa sabuni na matrial ya glass ukiitia sabuni huteleza sana ndio maana nyumbani vyombo vya glass/udongo huvunjika marakwamara na madada wa kazi huficha taarifa hizo....kwa kuwa hawakuongea na kijana jambo lolote inaashiria kuwa kijana hausiki na kuvunjika kwa glass.

kuhusu uanzie wapi...hakuna cha kuanza nacho na wala huna hoja ya kusema tukushauri uanzie hapa

ushauri mbadala...acha kumpiga chabo mkeo na kumuhisi kuwa anagongwa na masela wa mtaa..jambo la kufanya usipende kukaakaa nyumbani na mkeo ..toka kapige deals na wanaume wenzio kitaa nyumbani rudi jioni muda ushasogea unagonga tv news unawahi kupumzika chumbani na mkeo.

....thread closed.
 
Assessment yangu ni kuwa mkeo alijijuwa yuko peke yake, akajamba, kugeuka akaona kuna mtu anapita (ukamuona kama anataka kujikojolea) maana ushuzi kubanika ni kazi, action ya kuubana kivyako ikawa kama kama anajikojolea.

Vitu vinavyopelekea kuwa na mashaka ya kijinga na mkeo ni a) kama wewe mwenyewe ni mzinzi b) hujiamini kama unamridhisha mkeo. Hakuna zaidi.
 
My advice pray to ur god that akuepushie na haya maradhi, kama ni kidumu basi jua ulivyowapata leo ni siku ya 39 , za mwizi 40 zinakaribia.
 
enh!sasa hata tukiwa tunaosha vyombo tukajikuna paja na glass ikavunjika tayari tushamegwa !acheni hizo bana!
 
Yani niliwaza mitihani labda vifo vimefululiza kwako,umefukuzwa kazi,huna ada ya watoto wako kodi imeisha huna pesa ,yani hiyo ndio mitihani kako ,kweli nina wasiwasi sana na wanaume wa kizazi hiki na ufikiri wao ni mdogo sana heri wanawake kwa kweli.
 
hapo kwenye red una maana gani,
kwani ulimchukua kuja kula amekuwa mbuzi katoliki,
kama hapati kilichomleta kwamtoro lazima vijana wapiga matofali wajilie
kiulaini tu.

Kweli ndugu yangu, ndoa zinaitaji uvumilivu. Nikiangalia ndani full stock yaani, kazi kweli kweli
 
Last edited by a moderator:
Una presha wakati mwenzio glas iliangua bahati mbaya, mbona kawaida tu kwenye kuosha vyombo jamani.
 
Na wewe toka nje na semosi, akipita tu mwanamke ivunje
 
kwa nini uongozwe na HISIA badala ya UHALISIA?
huyo mkeo ni kiziwi hata ushindwe kumuuliza yapi yaliyomsibu hata BIRAULI ikamponyoka toka mwake mikononi?

duuh dismainda huyoooo
 
Back
Top Bottom