isaac vitalis shirim
Member
- May 15, 2013
- 14
- 2
WATOTO WA KISHUA SECONDARYSCHOOLS.L.P 270, ARUSHA.MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA.MAELEKEZO.i. Jibu maswali yote.ii. Kila swali linabeba maksi kumiiii. Zingatia mpangilio wa kazi.iv. Unaruhusiwa kutumia BLOGS naMAGAZETI YA UDAKUiv. SWALI LA TISA NI LAZIMAKUJIBU.MUDA; Masaa matatu.SECTION A.1. Kwa kutumia mifano hai, elezeachanzo cha Kim Kadarshiankugombana na Kanye west.2. Taja tofauti kuu nne kati yaMLIMANI CITY na QUALITYCENTER.3. Kwa kutumia maeneo yasamakisamaki, Coco beach, Steers,na Kunduchi beach resort elezeamaana ya neno BATA.4. Mapenzi hujengwa kati yamsichana na mvulana. Je Vipinimasikioni, Kuvaa mlegezo,mwanaume kusuka na kujipakacarolight vinachangia vipi kufanyapenzi lichanue? Fafanua!! Tumiamifano hai ya maboyfriend wawatoto wa kishua5. Kwa kutumia tamthilia za MARACLARA na zile nyingine za PROMISEna TIMELESS elezea nafasi yamwanamke katika jamii.SECTION B6. Elezea sababu kuu tano zaWEMA na Diamond kugombana!!Na kisha elezea mapinduziyaliyofanywa na Jokate Mwegelo.Na je kwa nini hawakudumu7. Inasemekana kuwa Chipsi mayaini mojawapo ya chakulakinachowachanganya wasichanawengi na mwisho kujikuta wametoapenzi. Kwa kutumia maeneo yaMasaki na Mikocheni elezea Bagana Pizza zinavyosababisha tatizohili.8. Kwa kuwatumia wasanii waBongofleva kama Diamond na wamtoni kama Chriss Brown elezeamaana ya neno SWAGA.9. Watoto wengi wa kishuahukimbilia kutafuta mademu wauswazi wakidai kuwa wasichana wageti kali hawajui lolote kitandani.Elezea kiufasaha ukitumia mifanohai kwanini wasichana wa kishua nibomu kitandani.10. Kwa kutumia mifano hai yaPLAYSTATION elezea ni ipi ngumusana kucheza kati ya PS 2 naPS3
..NAWATAKIA MTIHANI MWEMA!!!