Mti wa mtopetope

ween

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
414
129
Habarbya asubuhi ndg zangu,
Kuna mti aina ya mtopetope unafanana sana na mstafeli nawengne huuita mstafeli wa kiswahili ila wenyewe hutoa matunda madogo na matunda yake hyana vipele juu kama ulivyo mstafeli
Ndg zabgu naomben kwa mwenye kujua ulipo kwa hapa dar es salaam anielekeze niijie
 
kuna sehem huwa napita nauonaga ngoja leo nipite nikikuta bado upo ntakujuza no 0715575852
 
Back
Top Bottom