Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro


Ndio yule anaeitwa MZERU?
 
Mbena malundi -mfanyabiashara na mwekezaji katika majengo mkoani morogoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,naamini sasa mwanadishi wa thread utakuwa umepata ukweli kati ya mbena mfanyabiashara na mbena mfanyakazi wa ikulu.

asante kiongozi .
 
Sikukua kama kuna mapopompo bado jf ynatetea ujinga wa mwizi mmoja kujilimbikizia Mali
Shame n them
 
Hapa nafikiri kuna tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiri. Kwanza huo mradi/uwekezaji unahusishwa na familia ya Kikwete.
pili kuna tetesi za kumilikiwa na mtendaji wa ikulu. Mwisho kuna kifo cha utata kimemkumba afisa usalama wa taifa kuuwawa kwa kupigwa risasi, habari za awali zinasema alikua anaenda morogoro kwenye miradi yake (Silvanus Mzeru).
Kisha naona kwenye huu uzi majina mawili yakihusishwa na huu mradi mmoja akiwa mfanya biashara na mwingine mtendaji wa ikulu na mmoja wao anaripotiwa kufariki.
 
Ni vema kusema jambo unalolijua ili lifanyike msaada kwa wale woote watakaousoma.
Ukitoa mashauri ya uongo na watu wakakuamini, unawafanya wooote kuwa waovu.
Tuwe wakweli tafadhali.
 
jf kuna vibaraka sana wa wakubwa,watu wakihoji,linatokea nguruwe pori linalojiita great think humu jf kuanza kusema ooh majungu ooh nini,mtu anauliza vitu vya msingi mnabeza,ndio maana hii nchi inakwisha,ni kweli huyo ndie MZERU,alikua anatumiwa na wakubwa kuiba mali za watanzania,sio tu morogoro,hata CHANIKA jamaa ameacha mali za kufa mtu,kama zilikua zake kweli au alikua anawakilisha watu,huku chanika tunamshukuru lakini alisababisha umeme uje haraka.
 
Mbena malundi -mfanyabiashara na mwekezaji katika majengo mkoani morogoro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo,naamini sasa mwanadishi wa thread utakuwa umepata ukweli kati ya mbena mfanyabiashara na mbena mfanyakazi wa ikulu.
Na wewe pia umekurupuka au ndoa inakutia kiwewe..mbena wote wawili ni wafanyakazi wa ikulu mmoja yupo hazina kitengo cha ikulu ndiye aliyetwangwa risasi na ndiye mmiliki wa wa hayo majumba haramu huko morogoro mbena namba mbili ni msaidii wa Rais
 
Hayo majungu tupu kwan ckusomi kabisaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
We need to dig deeper and come up with facts,hili si jambo dogo.
 
Safi sana. Yaani serikali OC hakuna na hawa majambazi wanachita tu. Yaani alipaswa kupondwa na bomu ili asipatikane hata kipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…