Mungu amfunulieleo kazungumza vizuri mno
mkuu Mtela Mwampamba hakika leo umelitendea inavyofaa taifa lako, umechangia vizuri mno katika kipindi ya malumbano ya hoja ITV nakupongeza sana. achana na zile siasa zako ulizokuwa unafanya kipindi kifupi kilichopita. kwa mwendo huu ulioanza nao leo utafika mbali
endelea kupiga ramli
Kwa sababu sikuona alichozungunza, basi sawa.kwa alivyolitendea haki taifa lake live itv na wananchi wakishuhudia
Unachomsifia ni kipi hasa? Mbona hukisemi as if watu wote wlaikuwa kwenye tv? Kama watu wote walikuwepo basi hakuna sabbu ya kuanzisha uzi kwa kuwa walimwona.
Fafanua tu kizuri ulichokiona na inawezekana hata wengine waliangalia hawakukiona.
May 2016 hadi June 2020 ni miaka 5, napo ni mbali!.mkuu Mtela Mwampamba hakika leo umelitendea inavyofaa taifa lako, kwa mwendo huu ulioanza nao leo utafika mbali
Kiukweli siku hizi idadi ya Wasukuma wa ajabu ajabu imeongezeka!. Msukuma gani anayetukana wenzake kuwa kuwaida majina ya dharau kwa maumbile yao?!. Kwa vile mtu hajipangii kimo, ni mambo ya genetics, heredity na mutation, na life circumstances za hali za maisha, kwanini umuite mwenzako andunje?.Andunje katika ubora wake