Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

Mtela Mwampamba ashushwa Jukwaani Mbulu

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
 
Watu makini ndivyo wanavyokuwa siku zote na wambulu ni watu makini sana.
 
Pumba 2pu hao wahuni wachache mliotuma hapo ndio mnadhani uwanja umejaa CHADEMA?
 
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!

Rekebisha CHADEMA hawana kada bali kamanda, ukisema kada unakosea.
 
Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.

Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?

Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.

Hahahahahahahahahahahahahahahahaha
 
Mwampamba najua hata mbea huwezi toka mkoani ukamseme mtu wao.km Sugu, sasa wanakwenda kwa kaina seita kuwasema viongozi wa CDM ambao ni wao..wana bahati wairaq angekuja wangewatumia Fisi wa kutosha.Mwigulu kuona ukaribu na Iramba basi kafikiri wananafanana na wenzie.
 
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!
Hii imekaa safi, mimi nadhan sisi tuendelee kueneza elimu tuwaache wao wawe wanatumia majukwaa haya kutukana na kuongea utumbo. Wananchi ni majudge wazuri tu, wanafahamu zipi pumba na upi mchele. Mwisho wa siku watabaini tu kuwa kumbe wahuni ni CCM na sio CHADEMA.
 
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!

Nikisema hii taarifa ni ya udaku, nitakuwa nimesema uongo?
 
Peopleeeeeeeeeeeeees..............powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Hahahahahahahahaahahahhaaaha Molemo naona unaripoti habari za Mtela.
Hahahahahahahahahahahaha hivi kwei mtu unaweza kutoa ripoti ya habari za mtu ambaye hana manufaa?
Hhahahaahahahahahahahahahahahahahaa huyu jamaa kawacharaza bakora za nanihii kule Iramba.
Hahahahahahahahahahahahahahahahaha

ZeMarcopolo ee, kicheko hichi hakiwezi kuwa bure. hujatoka glosari wewe? ha ha ha ha.....
 
Mkutano wa Kampeni za Udiwani wa CCM wilayani Mbulu zimeingia dosari baada ya wananchi kuwazomea kwa nguvu.

Zomeazomea hiyo ilianza tangu mwanzo lakini hali ilikuwa mbaya zaidi alipopanda Kada wa CCM aliyefukuzwa CHADEMA Mtela Mwampamba ambapo badala ya kutoa sera alianza kuwaporomoshea matusi ya nguoni CHADEMA na viongozi wake.Hali hiyo ililazimisha wananchi kupiga makelele na kumshusha kwa nguvu jukwaani kitendo alichotii Mwampamba kuepusha ghasia zaidi.

Mkutano huo ulikuwa unaongozwa na Naibu Katibu Mkuu CCM Mwigulu Nchemba ambaye hata hivyo kwa kusoma upepo alishindwa kutoa matusi kwa CHADEMA kama ilivyo kawaida yake.

Nchemba alifuatana na kijana aliyemwagiwa tindikali Igunga na kusema ni kazi iliyofanywa na CHADEMA.Pia alidai yeye ndiye aliyeletewa Mkanda anaodai ni wa Ugaidi wa Lwakatare.

Kwa ujumla kulikuwa na watu wengi uwanjani lakini hata hivyo zaidi ya robo tatu ilikuja kuonekana ni wafuasi wa CHADEMA kutokana na mwitikio wao hali iliyomlazimu Mwigulu kushindwa kutumia Salaam ya CCM Hoyeee...badala yake ikabidi mara zote aseme Mbulu Hoyeee...!!!

Ni kweli, mimi nilikuwepo. Mtela mwampamba si tu alizomewa bali pia alinusurika kichapo
 
Back
Top Bottom