Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 10,916
- 16,106
Kamaka ipo Kenya au.Tulilipa kamaka pesa lakini hawakutupa mzigo, na hawawezi kurudisha pesa cash Kwahiyo tunahitaji mtu yeyote mwenye interest ya kununua chochote kinachouzwa kamaka chenye thamani ya million 11 lakini tutampa price favor kidogo ili kumvutia
Msikimbilie haraka kuhukumu..Watu kwa kupenda mteremko hawajambo.
Hizo nondo sijui cement vyote ni vya mchongo...kapiga kwenye magodown ya mchina
Ukinununua tu ni kama umeweka mguu mmoja segadence.
Upo sahihi Malume sema wabongo mtu akiwa na shida wao ndio wanapigilia msumari zaidi bila hata kujua kinachoendelea.Msikimbilie haraka kuhukumu..
Sawa. Ila maelezo yake kwamba "walilipa pesa Kamaka lakini kamaka hawakuwapa mzigo na pesa hawataki kurudisha" inaingia akilini?Msikimbilie haraka kuhukumu..
Kamaka moja kwa moja mguu kwa mguuRisiti ya mzigo nitakaonunua utanipa wewe au kamaka?
Sahihi kabisa mkuuSasa haya maelezo ungeweka kule juu ili kupunguza haya maswali yasiyo na ulazima.
Hapo inamaana akitokea mteja anataka nondo za 11M au bati za 11M biashara inaishia hapo?
Hiyo Kamaka ungewaambia maseneta iko wapi ili wakipiga na gharama za usafirishaji, iwe wamenufaika kwa kununua kwako.
Pole sana, kiufupi una mini hardware mkuu.
Mimi sio dalali mkuu, unanunua kwa kamaka moja kwa mojaYaani nifike Kamaka halafu ninunue mzigo kwa dalali? Hiyo itakuwa akili ya wapi?
Kaka 😁😁Ila ID za JF...❗🙌🏿❗😀
Unaweza kupewa tuhuma ama hukumu kwa hisia tu bila uhalisia
Nafanyaga biashara na makampuni makubwa ishu kaka hizo huwa zinatokea na makampuni makubwa kurudisha pesa ni kipengele kutokana na taratibu za kihasibuSawa. Ila maelezo yake kwamba "walilipa pesa Kamaka lakini kamaka hawakuwapa mzigo na pesa hawataki kurudisha" inaingia akilini?
Ahaa wee.badoTulilipa kamaka pesa lakini hawakutupa mzigo, na hawawezi kurudisha pesa cash Kwahiyo tunahitaji mtu yeyote mwenye interest ya kununua chochote kinachouzwa kamaka chenye thamani ya million 11 lakini tutampa price favor kidogo ili kumvutia