chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,032
Wewe ndio unatakiwa uweke specifications za mzigo ulionao, kama ni nondo, ni za 8mm 12mm au 16mm? Cement nayo ni aina ipi?Habari wadau
Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi
Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.
Saruji unauzajeHabari wadau
Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi
Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.
Mkuu tunakusubiriHabari wadau
Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi
Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.
Naomba specifications za mzigo wowote unaoutaka unaouzwa kamaka wenye thamani ya million 11Wewe ndio unatakiwa uweke specifications za mzigo ulionao, kama ni nondo, ni za 8mm 12mm au 16mm? Cement nayo ni aina ipi?
Tulilipa kamaka pesa lakini hawakutupa mzigo, na hawawezi kurudisha pesa cash Kwahiyo tunahitaji mtu yeyote mwenye interest ya kununua chochote kinachouzwa kamaka chenye thamani ya million 11 lakini tutampa price favor kidogo ili kumvutiaSaruji unauzaje
Weka bei? Na mahali ulipo
Watu kwa kupenda mteremko hawajambo.
Hizo nondo sijui cement vyote ni vya mchongo...kapiga kwenye magodown ya mchina
Ukinununua tu ni kama umeweka mguu mmoja segadence.
umenunuliwa kimakosa
OGOPA MATAPELI😀😀😀.
umenunuliwa kimakosa rudisha dukani utarudishiwa Hela zako.japo unaweza kupungua
Tulilipa kamaka pesa lakini hawakutupa mzigo, na hawawezi kurudisha pesa cash Kwahiyo tunahitaji mtu yeyote mwenye interest ya kununua chochote kinachouzwa kamaka chenye thamani ya million 11 lakini tutampa price favor kidogo ili kumvutiaMzigo uliouzwa tayari means specs zake zinatambulika na ni limited.
Muuzaji ndiye anaweka specs!!
Waongo na biashara zao no wizi matupu, hiyo ni Dalali anasubiri Mteja aseme ni mzigo gani anataka ili akutafute aje Kupiga cha juuWewe ndio unatakiwa uweke specifications za mzigo ulionao, kama ni nondo, ni za 8mm 12mm au 16mm? Cement nayo ni aina ipi?
You might be right pia, ilimradi nikupe cement ya 13k kwa 11k halali kwani kuna tatizo gani mkuu? Njoo haraka kama upo interested hii ni offerWaongo na biashara zao no wizi matupu, hiyo ni Dalali anasubiri Mteja aseme ni mzigo gani anataka ili akutafute aje Kupiga cha juu
Hahah sawaYou might be right pia, ilimradi nikupe cement ya 13k kwa 11k halali kwani kuna tatizo gani mkuu? Njoo haraka kama upo interested hii ni offer
Risiti ya mzigo nitakaonunua utanipa wewe au kamaka?You might be right pia, ilimradi nikupe cement ya 13k kwa 11k halali kwani kuna tatizo gani mkuu? Njoo haraka kama upo interested hii ni offer
Haya maelezo yana ukakasiTulilipa kamaka pesa lakini hawakutupa mzigo, na hawawezi kurudisha pesa cash Kwahiyo tunahitaji mtu yeyote mwenye interest ya kununua chochote kinachouzwa kamaka chenye thamani ya million 11 lakini tutampa price favor kidogo ili kumvutia
Sasa haya maelezo ungeweka kule juu ili kupunguza haya maswali yasiyo na ulazima.Naomba specifications za mzigo wowote unaoutaka unaouzwa kamaka wenye thamani ya million 11
Yaani nifike Kamaka halafu ninunue mzigo kwa dalali? Hiyo itakuwa akili ya wapi?You might be right pia, ilimradi nikupe cement ya 13k kwa 11k halali kwani kuna tatizo gani mkuu? Njoo haraka kama upo interested hii ni offer