Mtego: Wanafanya kila mbinu kutaka wafuasi wa CHADEMA waandamane ili wapate sababu ya kuifuta CHADEMA

Wakoloni weusi CCM wanafikiri wana nguvu sana lakini siku ikifika ndio watajua sio polisi, system wala intelligence wana uwezo wa kumweka mtu yeyote madarakani bali ni wananchi tuu,na watajua hawana nguvu yeyote, hiyo siku inakuja na mwisho wa vyama kama hivi ni kufungiwa maisha na viongozi wake kufungwa au kupigwa mawe na kuburuzwa mitaani, Historia hujirudia tumeona kila kona ya dunia
 
Yaani chokochoko wanazofanya CHADEMA huzioni ila unaona pale wanapokamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ndo unahisi inafuatiliwa. Wakae kimya waache chokochoko uone kama kuna mtu atakua na habari nao.
Mbona hiyo Dola yenyewe haijawahi kushinda kesi? Kwa manaa hawajajipanga
 
Back
Top Bottom