Mtego: Wanafanya kila mbinu kutaka wafuasi wa CHADEMA waandamane ili wapate sababu ya kuifuta CHADEMA

CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)

Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

Wafanyaje ili kutimiza azima yao?

Jibu rahisi ni kwamba, lazima wafuasi wa upinzani wawe provoked, na njia mojawapo ya kufanikisha hilo ni kukamata hovyo hovyo viongozi wa upinzani hasa katika maeneo ambako upinzani (CHADEMA) una nguvu.

Kwahiyo,tujiandae kwa chokochoko zaidi na zaidi tuwe makini kuzikabili hizo hujuma.
Yatafanyika ,hatuwabembelezi ,wakitaka wakifute then tuone what next ,binadamu anabadilika tokana na mazingira ,Mbona ccm wanademka na Mambo ya hatari Sana, kifuteni chadema kesho tuone
 
Ukiangalia kwa makini..ni wazi CCM hawana mwanasiasa mwenye mvuto tena kama ulivyokuwa kwa Kikwete na Lowassa. Sasa itakuwa nchi ya kutawala kwa mabavu
Wapo Mkuu, January na Hussein ndiyo wanasiasa wenye mvuto kuliko wote kwa sasa ukimtoa Samia
 
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)

Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

Wafanyaje ili kutimiza azima yao?

Jibu rahisi ni kwamba, lazima wafuasi wa upinzani wawe provoked, na njia mojawapo ya kufanikisha hilo ni kukamata hovyo hovyo viongozi wa upinzani hasa katika maeneo ambako upinzani (CHADEMA) una nguvu.

Kwahiyo,tujiandae kwa chokochoko zaidi na zaidi tuwe makini kuzikabili hizo hujuma.
Hakuna anayepanga chochote kuhusu chadema

mnaropoka sana kupima maji… sasa please walk the talk , tumechoka na kelele
 
Maandamano?

Ya nini tena wakati mahasimu wenu wanawafanyia kazi nzuri wakati huu!

Itashangaza sana kama CHADEMA watajiweka kamba shingoni kwa kufanya maadamano ambayo hayaleti mafanikio yoyote, ila kuwapa nafasi CCM kujinasua kwenye mtego uliowanasa tayari na upo njiani kuwamaliza kabisa.

Wana haraka ya kwenda wapi wakati bado kuna muda mwingi wa kutosha kwa CCM kujikaanga yenyewe!
 
Yaani chokochoko wanazofanya CHADEMA huzioni ila unaona pale wanapokamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ndo unahisi inafuatiliwa. Wakae kimya waache chokochoko uone kama kuna mtu atakua na habari nao.
Chokochoko za cdm ni zipi kudai katiba mpya ni chokochoko? Mlitaka chadema wakae kimya Kama mazombi yenu ya tlp ya mrema?
 
Acheni uoga, andamaneni, tunawasubiri field tar 5 kama katibu wenu alivyowaamuru, msipokuja nyie ni cowards tu!!
Yani jinga Kama hili linajua wazi kabisa ikipatikana katiba mpya hata wajukuu zake watakuwa ni wanufaika lakini kwa upumbavu linashabikia dhuluma vs haki.
 
CCM sio tena chama cha siasa, bali ni kakikundi cha watu walioamua kutumia dola kulinda madaraka waliyonayo(kubaki madarakani)

Kwa sasa wamegundua kutumia mabavu kupambana na upinzani hasa CHADEMA hakusaidii hivyo wamekuja na mkakati wa kutaka kuifuta CHADEMA kama alivyosema Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika.

Wafanyaje ili kutimiza azima yao?

Jibu rahisi ni kwamba, lazima wafuasi wa upinzani wawe provoked, na njia mojawapo ya kufanikisha hilo ni kukamata hovyo hovyo viongozi wa upinzani hasa katika maeneo ambako upinzani (CHADEMA) una nguvu.

Kwahiyo,tujiandae kwa chokochoko zaidi na zaidi tuwe makini kuzikabili hizo hujuma.
Hakuna aliyewahi kushindana na CHADEMA akashinda ama akabaki salama kama alivyokuwa zamani
 
Acheni uoga, pambaneni mstari wa mbele, hivi mnajua mkiti wenu yupo wapi na anafanywa nini? au mnajamba jamba tu hapa?
 
Yaani chokochoko wanazofanya CHADEMA huzioni ila unaona pale wanapokamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria ndo unahisi inafuatiliwa. Wakae kimya waache chokochoko uone kama kuna mtu atakua na habari nao.
Hamasa kwa Katiba Mpya ni chokochoko Mkuu!!?
 
Wapo Mkuu, January na Hussein ndiyo wanasiasa wenye mvuto kuliko wote kwa sasa ukimtoa Samia
January anajulikana kwa watu wachache sana. Kwa wanasiasa na watu wa mtandaoni. Mitaani huko hamna. Labda aende kwa mbeleko ya jina la baba yake
 
Back
Top Bottom