Hiv inawezekana kabisa kuwa ccm hawajui kuwa Lowasa ni fisadi?hivi inawezekana kabisa kuwa lowasa hajui kuwa yeye ni fisadi?

Hivi unadhani kuwa hiyo CCM ya kutambua mafisadi bado ipo?Hiv inawezekana kabisa kuwa ccm hawajui kuwa Lowasa ni fisadi?
"Hakuna msafi ccm woote ni wachafu na wako after matumbo yao"
Kabla hata sijasoma maoni ya wengine,, mimi naanzia kwenye wekundu hapo juu. Sentensi hii si ya kweli,, sikatai kwamba wapo watu wachafu sana CCM, lakini huwezi kuniambia kwamba katika wanachama woote wa CCM nchi nzima hakuna aliye mzalendo wa kweli?? Kwa maana nyingine unataka kusema kwamba katika CDM wote ni wasafi? Wawe wote wasafi wanakaa Tanzania ipi?? hii hii ninayoijua? Kama ndivyo basi hawa ni malaika hawakai nasi humu duniani. Tusiwe biased tunapotoa hoja.
Kwa mtazamo wangu kusema kwamba unaikataa tu CCM, inaweza ikawa si sahihi,, nadhani ni vyema tuwakatae waovu na ambao si wazalendo wa nchi yetu. Sasa leo tunasikia kwamba Lowassa anauma CCM na CDM kote,, je siku ya siku akahamia CDM baada ya kuona CCM inaweza isishinde,, utakataa? Na utakataaje ikiwa viongozi na kamati kuu ya CDM itakuwa imemkubali? Wewe ni nani wa kukataa? Ndiyo maana nasema, hawa watu waovu wapo CCM, na hata CDM wapo sana tu. CDM ni watanzania kama wengine. Ifike mahali tuwe na common goal kama Tanzanians regardless ya itikadi zetu. Ikiwa kuna mtu mchafu CCM, nawe ni mwanachama wa CCM, simama imara kupinga huyo asiingie madarakani, vivyo hivyo kwa CDM na vingine vyote, kama kuna mtu mchafu asiyeweka mbele maslahi ya Taifa apingwe vikali sana. Binafsi yangu sipendi kuona Lowassa wala Mbowe wanashika nyadhifa za juu, nasema sipendi. Mimi nimeona kwamba wewe huangalii kiongozi bali unaangalia chama gani,, kwamba tu ili mradi si CCM chama chochote au kiongozi toka chama chochote hata kama si muadilifu pia?? No way.