wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Wakuu ni matumaini yangu wote mmeona mpambano wa tatu/trilogy kati ya wilder vs fury.
Niwaambie tu kitu ambacho nimegundua kwa mtazamo wangu.
African boxers bado ni the best dunia nzima ndo ukweli huo. Na ndio kitu ambacho kila mtu anatakiwa aamini. Tuachane na propaganda.
Kwamaana ya kwamba genetically tumeumbwa hivo.( nawaachia for reasoning sitaingia deep)
Pia mkumbuke wazungu ndo wanamiliki hizi boxing organization. Pia michezo ya ngumi inatumika kisiasa( political influence). So wapo tayari kufanya lolote lile ili wapate influence.( nitawaachia mtafakari)
Fact 1. Ukiangalia mpambano wa wilder vs fury 3, kabla ya game kuanza kulikua kuna matatizo yalijirudia kuhusu gloves, hiyo haijatokea kwa bahati mbaya.
Fact 2. Utofauti wa uzito ni mkubwa mno. Wilder amepigana akiwa na pound 238lb(125.6kg) wakati tyson fury akiwa na 277(107.9kg). Ambapo fury alikua na 7.7 kg extra on wilder. sayansi inasema katika ngumi mtu akikuzidi hata 2kg. Ana advantage kubwa sana kwako ikiwa mmejiandaa sawa kimazoezi. Hii pia haijatokea kwa bahati mbaya.
Fact 3: siku tatu kabla ya game. Refa na judge walibadilishwa ghafla bila boxing organization kutoa sababu yoyote. Tolja ya!!
Fact 4: kumbuka fury ana kesi mahakamani ya kudanganya kwenye marudiano ya mpambano wa pili. Na bado wilder hajapata haki yake mahakamani.
Samahani black european. Najua mtakuja kwenye huu uzi kuponda sana.
Ila cha kuongezea kama nahisi kuna propaganda ya kuiondoa black supiriority in boxing world. Kumbuka wameanza na joshua. Wanamtamani sana mayweather ila kwa bahati nzuri kastaafu. Sidhani kama ile record( 50-0) inapendwa. Wilder wametumia mbinu zote za vitabu kuifanya ionekane hivo.
Finally, muangalieni efe ajagba. Alikua ni boxer mzuri sana upcoming. So popote hawa watu wakiona upo unique na unaanza kua the best wanaanza kua karibu na ww. Mnakumbuka ukaribu wa fury na efe ajagba.( nawaachia kwa tafakari).
Hey my african brothers and sisters, try to go deeper in these stuffs. Msiishie kwenye kuchukua matokeo tu. Pamoja.