Mtazamo wangu kuhusu mapambano wa Tyson Fury vs Deontay Wilder

wazanaki

JF-Expert Member
Mar 20, 2020
827
1,000
images (18).jpeg

Wakuu huu mpambano wa Boxing wengi wanasema Wilder alipigwa kihalali, lakini kuna wengine wanasema Tyson Fury alidanganya. Upi ni ukweli?

Tukiangalia mpambano wa kwanza, Wilder almost alitaka kumuua Fury, alimdondosha mara mbili. Bila refa kuongeza kuzidisha sekunde kumi za kuhesabu game ilikua over.

Kiufupi, Fury anauwezo wa kubox ila hana power, mikono yake ni kama mito (kauli ya Wilder). Kwa hiyo game ya kwanza kwa mtazamo wangu wilder alishinda. Na kwa sasa trilogy itaendelea (mechi ya tatu).

Game ya pili, kuna fununu kuwa Tyson Fury alidanganya kipindi yupo chumba cha kuvaa gloves, nasikia alifunika kamera katika chumba cha kuvaa gloves ambapo ni kinyume na sheria na kuna kitu kigumu aliweka ndani ya gloves.

Kwenye mpambano, Fury aliweza kupasua mfupa wa sikio wa wilder na kutengeneza crack, kwa mujibu wa madoctor wa mifupa wanasema haiwezekani glove ya kawaida kupasua mfupa wa fuvu, kuna kitu. So wilder alifungua kesi na alishinda kesi.

Lakini kwa sababu Fury alikua ni mzungu, na kwa sababu media zote kubwa duniani ni za wazungu, ikaenezwa propaganda kuwa Wilder amepigwa kihalali na media zote kumshambulia Wilder. Hata ukija bongo hapa umuulize mtu yupi mkali kati ya Fury na Wilder atakwambia Fury kutokana na impact ya propaganda ya global media.

Kwa Watanzania haya mambo muwe mnayafatilia kiundani. Wilder ni mwenzetu ambaye anatuwakilisha. Tutoe sapport na kuonesha love.

Otherwise global media zitakua zinawapangia kila siku mtu wa kumpenda na mtu wa kumchukia.
 

Mshughulishaji

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,038
2,000
Mwezi wa nane ni kati ya nani na nani miongoni mwa hawa?

Anthony Joshua v/s Tyson Furry au
Deontay Wilder v/s Tyson Furry?
 

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
10,290
2,000
Wilder Ni wakawaida.. tishio Ni lingumi lake la kijambazi tu ! Lakini Furry Ni mtaalamu sana
 

St Lunatics

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,469
2,000
Nimesoma uzi nilipo ona mwenzetu tu nikasema wabaguzi wa rangi haooo. Wanaanza na mimi wao na yule


Lunatic
 

HiDEmYiD

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,553
2,000
Kwani wilder na fury walipgana ten baada ya lile pambano alilopoteza wilder la kocha wake kurusha taulo?
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
5,257
2,000
Wakuu huu mpambano wa boxing wengi wanasema wilder alipigwa kihalali. Lakini kuna wengine wanasema tyson fury alidanganya. Upi ni ukweli?
Tukiangalia mpambano wa kwanza, wilder almost alitaka kumuua fury, alimdondosha mara mbili. Bila refa kuongeza kuzidisha sekunde kumi za kuhesabu game ilikua over. Kiufupi, fury anauwezo wa kubox ila hana power, mikono yake ni kama mito( kauli ya wilder). Kwa hiyo game ya kwanza kwa mtazamo wangu wilder alishinda. Na kwa sasa trilogy itaendelea( mechi ya tatu).
Game ya pili, kuna fununu kua tyson fury alidanganya kipindi yupo chumba cha kuvaa gloves, nasikia alifunika kamera katika chumba cha kuvaa gloves ambapo ni kinyume na sheria na kuna kitu kigumu aliweka ndani ya gloves. Kwenye mpambano, fury aliweza kupasua mfupa wa sikio wa wilder na kutengeneza crack, kwa mujibu wa madoctor wa mifupa wanasema haiwezekani glove ya kawaida kupasua mfupa wa fuvu, kuna kitu. So wilder alifungua kesi na alishinda kesi.
Lakini kwa sababu fury alikua ni muzungu, na kwa sababu media zote kubwa duniani ni za wazungu, ikaenezwa propaganda kua wilder amepigwa kihalali na media zote kumshambulia wilder. Hata ukija bongo hapa umuulize mtu yupi mkali kati ya fury na wilder atakwambia fury kutokana na impact ya propaganda ya global media. Kwa watanzania haya mambo muwe mnayafatilia kiundani. Wilder ni mwenzetu ambaye anatuwakilisha. Tutoe sapport na kuonesha love. Otherwise global media zitakua zinawapangia kila siku mtu wa kumpenda na mtu wa kumchukia.
Mkuu hizi inasemekana (allegations) nyingi umezitoa wapi..., na sababu huamini mainstream media / global media zinazomilikiwa na wazungu wewe habari zako unazitoa wapi ? (kwenye vijiwe vya Gahawa)?
 

fogoh2

JF-Expert Member
Apr 13, 2017
3,668
2,000
Eti gloves za kawaida haziwezi kuvunja fuvu ,mohamed matumla alipasuliwa na chuma ? Alipopigwa na mfaume akavunjwa vunjwa.
Eti aliziba cctv kamera ,hivi unadhani huo upuuzi wenu wa manzese ndio upo huko mtu azibe camera aweke machuma hahahaaa.
Pia hizo propaganda za rangi ni ujinga tu,ngumi ni mchezo wa wazi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom