JOVIAL JOHN
New Member
- Aug 9, 2012
- 2
- 0
Wavuta bangi wawili walikuwa wamekaa kijiweni wanavuta bangi,mara ndege ikapita.
Mvuta bangi1:"Hio ndege lazima itakuwa imebeba Rais!"
Mvuta bangi2:"Hapana imebeba wazungu tu,ingekuwa imebeba Rais ungeona pikipiki mbele na ving'ora vikilia!!"