Mtazamo wangu kuhusu Kiba na Mond

Mtazamo wangu kuhusu Kiba na Mond

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,676
Habari zenu,

Nasikia kuna bifu la Diamond Platnumz na Kiba na wengi huwa wanalishabikia sana ila ukiuliza chanzo cha bifu lao ni nni hakuna hata shabiki mmoja atakae kujibu maana hawajui. Anyway mimi sikutaka hilo kuliongelea kupitia hili bifu kwa mtazamo wangu kuna mtu atafaidi.

Ipo hivi kama Kiba atachukua tuzo za KTMA akubali akatae bifu la Diamond na yeye limemsaidia yeye kupata hizo tuzo hata zile tuzo za watu akubali akatae kama asinge kuwa na bifu na Diamond basi asingechukua huo ndo ukweli! Bifu la yeye na Diamond limempa mashabiki wengi na kufufua jina lake lilo kuwa linaelekea kufa huo ndo ukweli.

Nyimbo zake zinapendwa sahizi kwa ajili ya bifu lake na diamond huo ndo ukweli.Anapata show kadhaa na interview sababu ni bifu lake na diamond bila hivyoooo kiba sijui. Tujikumbushe show ya Tigo concept kiboko yao kama Kiba asinge kuwa na bifu na Diamond basi ile show ingekula kwake kwanza Tigo wasingemchukua kabisa.

Yeye kuingia kwenye categories nyingi kwenye KTMA ni sababu ya bifu lake na mind bila hivyooo hakuna kitu. Vipo vingi lakini Kiba anapaswa kushukuru sana yeye kuwa na bifu na msanii wa kimataifa bila hivyo basi hata richmavoko alikuwa anakuja kumpita Kiba.

Mwisho Kiba anamtegemea Diamond kutoka lakini Diamond hamtegemei Kiba! Kifupi Diamond ni kiba lakini sio Kiba ni Diamond! Kiba aombe hili bifu lisije kuisha maana ndio kula kwake.
 
Kumbe na were mgumu kuelewa eeh bifu limeanza kipindi cha cinderela kwani? nifah
 
Last edited by a moderator:
Kuna sehem jana nilikua nashave kidogo najihandsomisha barbershop kuna mtu akaniambia kama bifu la diamond na kiba likiisha wakapatana au walatoa kazi. Mziki wa kiba au diamond utapungua changamoto flani mana ukiwa na mshindani mtu unakua hulali unawaza ni vp nifanye vzr nimzibe mdogo mpinzani wangu. Mwisho wa siku ni kipato na sifa kubwa unapata. Wacha waendelee na utafauti wao tu.
 
Kumbe na were mgumu kuelewa eeh bifu limeanza kipindi cha cinderela kwani? nifah

Unavyosema kwamba sasa Kiba yupo juu sababu ya bifu na diamond ni sawa na kusema Kiba hawezi kufanya mziki bila diamond.
Sasa basi, kipindi kile yupo juu alimtegema nani hadi sasa amtegemee huyo diamond?
Jibu hoja sio unakurupuka tu.
 
Last edited by a moderator:
Unavyosema kwamba sasa Kiba yupo juu sababu ya bifu na diamond ni sawa na kusema Kiba hawezi kufanya mziki bila diamond.
Sasa basi, kipindi kile yupo juu alimtegema nani hadi sasa amtegemee huyo diamond?
Jibu hoja sio unakurupuka tu.

Heeeeee hukumbuki kipindi kiba alicho potea hukumbuki eeh hadi akawa anasema the return of king hukumbuki tuuu hili bifu limemsaidia sanaaa
 
Umeandika hisia zaidi kuliko ukweli. Na sidhani ka kuna bifu lolote Bali ni ushabiki wa kila timu kwa wanayempenda basi. Ali kiba ali exist kabla ya huyo domo.

I miss you bae, jamani jana kulikua na katizo la umeme kwetu umerudi jana usiku sasa leo naingia huku nakutana na pm's kibao eti kwanini sionekani au kisa domo katoa new release?

Nimecheka sana aisee....anyways umeongea ukweli dear.
Kiba hashindani na mtu basi tu watu wanapenda kumpambanisha.

Mtu mwenyewe wa kupambanishwa nae ni yupi? Huyo ambaye sauti haitoki au? Hahahahaa
Sipati picha King angefanya hiyo collaboration na Mr. Flavour, ingekuwaje tamu sasa?
 
Heeeeee hukumbuki kipindi kiba alicho potea hukumbuki eeh hadi akawa anasema the return of king hukumbuki tuuu hili bifu limemsaidia sanaaa

Hivi wewe unajua unachokiongea kweli? Yaani inshort huna hoja maana umashindwa hata kutetea bandiko pako uliloliweka mwenyewe.
Jibu kwanza, wakati King Kiba yuko juu enzi zile alimtegemea nani?
 
Unavyosema kwamba sasa Kiba yupo juu sababu ya bifu na diamond ni sawa na kusema Kiba hawezi kufanya mziki bila diamond.
Sasa basi, kipindi kile yupo juu alimtegema nani hadi sasa amtegemee huyo diamond?
Jibu hoja sio unakurupuka tu.

Kuna watu hawatumii hata akili ya division five kufikiri. Sijui ni matatizo ya utapiamlo. Au IQ ndo shida sio kila kitu ni ushabiki wa kijinga tu. Kiba ameanza mziki kabla ya domo mbona kuna wasanii wengi wazuri kama mwana Fa Weusi wanafanya mziki vizuri wasiambiwe ni bifu. Watu wengine bwana.
 
Domo skendo ndo zinamuweka hewani vinginevyo anatoa nyimbo za kawaida tu. Angalia makolabo yote aliyofanya moja tu la davido ndo lilitoboa mengine yote kuleeee. Kiba ni the king hilo halina ubishi, kwani kuna tatizo gani mtu akipumzika na kuamua kuja kivingine hahahhahah!!!

Kiba anabebwa na muziki wake, cheki mwana na cheketua zinavyowapelekesha hahahahh! Kila siku domo anarelease nyimbo na zinadumu kwa wiki tu. Sasa who's the king!! Anayetoa magarasa kila siku??? Au anayerelease kwa mpango na vitu vina run dunia haaaaaaahaaaaaaaa!!!!
 
danya

Kiuhalisia Diamond anaweza zaid ya Ally yaan this time naangalia this new song Nana najiuliza hivi Ally Kiba anaweza akafanya mambo makubwa kama haya? Then I can see Diamond management wana plan za mbali zaid ya Ally

kwan wao wanaongea maneno but upande wa diamonds wanaongea kazi so kama ni wewe unaona nan anaweza hapo tule anayeongea tu hatuoni kazi au yule anayetoa kazi na kupata airtime all over the Africa ?
 
Last edited by a moderator:
I miss you bae, jamani jana kulikua na katizo la umeme kwetu umerudi jana usiku sasa leo naingia huku nakutana na pm's kibao eti kwanini sionekani au kisa domo katoa new release?
Nimecheka sana aisee....anyways umeongea ukweli dear.

Kiba hashindani na mtu basi tu watu wanapenda kumpambanisha.
Mtu mwenyewe wa kupambanishwa nae ni yupi? Huyo ambaye sauti haitoki au? Hahahahaa
Sipati picha King angefanya hiyo collaboration na Mr. Flavour, ingekuwaje tamu sasa?

Sasa wanataka kukupangia life style lako kisa domo mbona wana vituko hivo yani wanataka ukeshe Jf ili wasikujudge. Hao watu ni useless tena ni fool aisee yani wana take ya Jf so serious hivo.

Ni ujinga kufikiria eti bifu ndo linamfanya mtu a heat. Nyimbo nzuri na kukubalika na rika zote ndo zinakufanya ukubalike. Haya ya mabifu ni ujinga tu wa wachache kutokufikiria mbali.
 
Back
Top Bottom