Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Tuliwaambiwa kwa mdomo mkajifanya viziwi. Sasa ngoja tufanye kwa vitendo.
pamoja kamanda
Tuliwaambiwa kwa mdomo mkajifanya viziwi. Sasa ngoja tufanye kwa vitendo.
Lema yupo chini ya uangalizi mkali sana wa askari Magereza ametwengwa na mahabusu na wafungwa wengine wa kawaida. Sababu kuu ni mbili, usalama wake na kisiasa asije kuharibu gereza, sasa hiyo kazi maalumu sijui ni ipi labda kama alikuwa halijui gereza lakini naamini analijua kwa sababu alishaleta gereza Arusha Tv 2 nadhani na king'amuzi. Lema amekwenda kule ili kuonyesha jinsi asivyo mioga wa watu wanaomtisha kuwa ipo iku watamfunga sasa ameamua kuwaonyesha kuwa kama hapa mnapaona ndiyo tishio lenu basi nakwenda kisha nikirudi mbadili mashairi maana jel itakuwa siyo issue tena.Mangi nampenda lema ila kesho wacha tutafute hela kama kawaida,ye atatoka tu amenda kulea kwa kazi maalum.
Lema yupo chini ya uangalizi mkali sana wa askari Magereza ametwengwa na mahabusu na wafungwa wengine wa kawaida. Sababu kuu ni mbili, usalama wake na kisiasa asije kuharibu gereza, sasa hiyo kazi maalumu sijui ni ipi labda kama alikuwa halijui gereza lakini naamini analijua kwa sababu alishaleta gereza Arusha Tv 2 nadhani na king'amuzi. Lema amekwenda kule ili kuonyesha jinsi asivyo mioga wa watu wanaomtisha kuwa ipo iku watamfunga sasa ameamua kuwaonyesha kuwa kama hapa mnapaona ndiyo tishio lenu basi nakwenda kisha nikirudi mbadili mashairi maana jel itakuwa siyo issue tena.
Kuna watu hawaelewi kabisa na kuamua kujisemea tu.pamoja mukubwa
polisi walimshauri akubali dhamana lakini alikataa.Tatizo lipo polisi
Mzee mwenzangu nilipita maeneo ya pale na taarLema yupo chini ya uangalizi mkali sana wa askari Magereza ametwengwa na mahabusu na wafungwa wengine wa kawaida. Sababu kuu ni mbili, usalama wake na kisiasa asije kuharibu gereza, sasa hiyo kazi maalumu sijui ni ipi labda kama alikuwa halijui gereza lakini naamini analijua kwa sababu alishaleta gereza Arusha Tv 2 nadhani na king'amuzi. Lema amekwenda kule ili kuonyesha jinsi asivyo mioga wa watu wanaomtisha kuwa ipo iku watamfunga sasa ameamua kuwaonyesha kuwa kama hapa mnapaona ndiyo tishio lenu basi nakwenda kisha nikirudi mbadili mashairi maana jel itakuwa siyo issue tena.
Washtakiwa 7 tu ndio waliweza kukidhi matakwa ya dhamana na kuachia huru.
tarehe 14 sijui atakataa tena dhamana
Naona zile ID zinafanya kazi kweli kwenye topic inayomhusu mh. lema, wanajamii si mnazijua lakini.......mjini shule!
FF uwezo wako wa kuelewa ni mzuri ila unajilazimisha kuonekana mpuuzi. Niwie radhi. Alipozungumzia mwakilishi wa jimbo hukumwelewa? Yule wa Cuf hana jimbo ila VITU maalumu. Hata hivyo mazingira yao yanatofautiana kidogo tuu, mmoja alilazimishwa kwenda mahabusu mwingine alikataa dhamana ili afikishe ujumbe kuwa ktk kutetea haki gereza haliogopwiMbona hamkusema hayo alipowekwa ndani Mbunge wa CUF?