Mtazamo wa CHADEMA juu ya Lema kujiingiza gerezani

Mbunge ni mwakilishi wa jimbo husika pale bungeni. Mbunge ni kioo cha jimbo husika. Mi nafikiri ni uzalilishaji mkubwa sana kwa wananchi wa jimbo husika kuwekewa mbunge wao gerezani, Hasa anapokuwa kwenye harakati za kutenda haki.

Watu wa Arusha inabidi muonyeshe mfano kupinga hilo, sisi wengine tupo nyuma yenu, Nyie mkiwa kimya na wengine wa majimbo mengine watafuata.

Kama mmeamuaa kufanya kitu kesho kukomesha hali hii, na mfanye kweli. Askari wanaishi kwa kodi zetu, tunawalipa kulinda haki na sio kutunyanyasa kwa maslahi yao binafsi.

Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

Mbona hamkusema hayo alipowekwa ndani Mbunge wa CUF?
 
Hivi sheria za bunge zinasemaje kuhusu mbunge kufungwa?
Nafikiri anatakiwa anyang'anywe ubunge. Chadema inatubidi tumtafute mtu makini wa kuiongoza Arusha
 
Mimi kama mzalendo, mpenda haki, mwajibikaji na mpenda kupigania haki za wale wote wanaonyimwa haki yao na kundi lolote lile, nampongeza ndugu Lema kwa uamuzi wake huo. Hili ni somo tosha kwa vyombo vya dola na hasa jeshi la polisi ambalo limekuwa na kawaida ya kunyanyasa wananchi na kuwapa vitisho huku likitetea viongozi wa serikali wasio waadirifu kwamba, hatuogopi kwenda jela kwa kupinga viongozi wadhalimu, wasio wazalendo, au kwa kutetea wananchi walipa kodi ili wapate haki zao. Hatuwezi kuwa na taifa lenye watu wenye nidhamu ya woga kisa vitisho vya polisi. Hongera sana Lema, umeonesha njia kwa wapiganaji wengine.
 
Mods thread ya Mbowe akihojiwa na BBC jana kuhusu Lema iko wapi? Wachangiaji walikuwa wamefikia zaidi ya 150.Tunaomba irudishwe isihujumiwe
 
Mbunge ni mwakilishi wa jimbo husika pale bungeni. Mbunge ni kioo cha jimbo husika. Mi nafikiri ni uzalilishaji mkubwa sana kwa wananchi wa jimbo husika kuwekewa mbunge wao gerezani, Hasa anapokuwa kwenye harakati za kutenda haki.

Watu wa Arusha inabidi muonyeshe mfano kupinga hilo, sisi wengine tupo nyuma yenu, Nyie mkiwa kimya na wengine wa majimbo mengine watafuata.

Kama mmeamuaa kufanya kitu kesho kukomesha hali hii, na mfanye kweli. Askari wanaishi kwa kodi zetu, tunawalipa kulinda haki na sio kutunyanyasa kwa maslahi yao binafsi.

Agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

Aliwekwa aliomba kukaa gerezani mwenyewe..

Wananchi wa Arusha wana kazi za kufanya hawawezi kuomba kukaa jela..

Ujue lema ruzuku yake kubwa sana siyo na dereva wa bodaboda
 
Aliwekwa aliomba kukaa gerezani mwenyewe..

Wananchi wa Arusha wana kazi za kufanya hawawezi kuomba kukaa jela..

Ujue lema ruzuku yake kubwa sana siyo na dereva wa bodaboda

We makamasi nini, kuna taratibu zinafuatwa mpaka uende huko, unadhani SABASABA mule!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Aliwekwa aliomba kukaa gerezani mwenyewe..

Wananchi wa Arusha wana kazi za kufanya hawawezi kuomba kukaa jela..

Ujue lema ruzuku yake kubwa sana siyo na dereva wa bodaboda

mbona leo post yako iko kinyonge namna hii?
 
Ni ujinga tu kufanya mambo yasiyo na tija.
Mi siko kwenye siasa kabisa, sio ccm wala cdm, lakini huu ni ujinga kama ujinga mwingine wanaofanya wanasiasa wetu wa ccm, cmd na wengineo
 
Jambo alilofanya ni kubwa as far as tabia ya Police is concerned kubambikia watu kesi kwa maslahi binafsi au ya chama cha ccm. Impact yake ni kubwa sana Tanzania nzima, kitendo chake cha kuingia gerezani kitawavuta watu wengi na hasa wafungwa/mahabusi wote walioko magerezani ambao wengi wao ni kwa makosa ya kubambikwa na ama upelelezi usiokamilika miezi nenda rudi. Binafis naona police wanazidi kuififisha ccm na kuikweza CDM
 
Hivi sheria za bunge zinasemaje kuhusu mbunge kufungwa?
Nafikiri anatakiwa anyang'anywe ubunge. Chadema inatubidi tumtafute mtu makini wa kuiongoza Arusha

commets zako zimekaa kishoga sana. Pole!
 
Hivi sheria za bunge zinasemaje kuhusu mbunge kufungwa?
Nafikiri anatakiwa anyang'anywe ubunge. Chadema inatubidi tumtafute mtu makini wa kuiongoza Arusha
FB Lema hajafungwa, Prof Lipumba alikaa mahabusu Ukonga mpaka alipoachiwa lakini alogombea urais, sheria inasema mtu alitenda kosa la jinai na akahukumiwa jela anapoteza sifa ya kuwa kiongozi wala kugombea nafasi yoyote serikalini. Nakupa mfano mwingine Nyali yule jamaa aliyesifika kwa ujambazi na kukaa mahabusu Isanga na Gereza Arusha saizi ni diwani wa Mereleni na kama siyo fitna za Lowasa angechuana na Lema katika kinyang'anyiro cha ubunge uliopita. Kama jambo hulijui ni bora kukaa kimya.
 
lema anatafuta umaharufu itakula kwakwe.ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Mangi nampenda lema ila kesho wacha tutafute hela kama kawaida,ye atatoka tu amenda kulea kwa kazi maalum.
 
Back
Top Bottom