Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

Changanya wasukuma na wanyamwezi, wamwera na wachagga, wamassai na wayao, wahindi na wazungu, wapare na wahehe, CCM imeshindwa kudeliver. Mwaka huu mwisho. Hata ijambe, inye, ikojoe, iharishe. No body cares. Ilishaondoka kwenye ramani ni kutangazwa tu rasmi tunasubiria.
 
Sio kuwa ccm imechokwa Moshi/Arusha, bali chadema inaendekeza ukabila.

Ww Kweli MSUKULE!! Eti Ukabila Na Kawe, Ubungo, Mpanda, Mbeya, Iringa N.k Inakuwaje!!?? ALAFU USITAKE Kuwapotosha WATANZANIA MSUKULE Ww!! Hapa Nina Sms Ya Wasukuma Wakitumiana!! Kuhusu Magufuli Na Ndio Maana Anafunga KAMPENI Mwanza!!! Nashindwa Kuituma Humu!!! Otherwise Ningeiweka Now!!
 
...yaani unajaribu kuaminisha umma wa watanzania ccm ina nguvu kaskazini!
Hata kama unaifanya hii kazi kwa malipo hakika umevurugwa,wewe ni kopo!

arusha si hivyoooo mnavofikir..lowasa anaweza pata 50.6 percent then 48% ni magufuli hawatatofautiana xaaaana. mark my word, subirin tarehe 25 then mni quote..tena usishangae hizo 50 zikaenda kwa magufuli.
 
Ww Kweli MSUKULE!! Eti Ukabila Na Kawe, Ubungo, Mpanda, Mbeya, Iringa N.k Inakuwaje!!?? ALAFU USITAKE Kuwapotosha WATANZANIA MSUKULE Ww!! Hapa Nina Sms Ya Wasukuma Wakitumiana!! Kuhusu Magufuli Na Ndio Maana Anafunga KAMPENI Mwanza!!! Nashindwa Kuituma Humu!!! Otherwise Ningeiweka Now!!

unachekesha, ww ndio msukule aka zombie...eti msg za wasukuma, hiyo msg ina alama gan ithibitishe kuwa ni ya wasukuma???

acha propaganda nyepes, kanda ya ziwa ni maguful damu
 
We Pasco umebalance vizuri news tofauti na TBC1. Unajua Pasco kinachozalisha chuki ni matusi,kebehi,ubabe,unafiki,ushenzi na ubabe wa viongozi wa CCM wanapokuwa majukwaani. Na kwa bahati mbaya hayo yote yamepokelewa vyema na wanachama wa CCM tunaoishi nao kitaa. Nilishuhudia juzi katika ule mkutano wa Biafra kinondoni wana ccm walifanya maandano tokea Biafra kuelekea Magomeni bila kupigwa mabomu na askari. Wangekuwa CHADEMA sijui ingekuwaje. Na wale ambao walibebwa kwenye MAUDA au UDA walikuwa wanaonyesha middle finger kwa wale wa UKAWA waliokuwa wamejikalia kwenye vijiwe vya wakiunza kashata,kahawa na magazeti. Na walikuwa wanamtukana Lowassa kwamba ni roboti,na maneno mengine yasiyo na staha.

Hii ndio inayozalisha chuki. Hapa kwa kuwa nalisimama pembeni ya barabara nipishe wapite,nikaapa kwamba wakati nampigia Lowassa kura itabidi nikoleze wino vizuri kabisa,kwa hasira. Mimi siwezi kumtukana mtu,ila hasira za kutukanwa namaliza kwenye sanduku la kura,period.
 
Wanabodi,

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.
Wanabodi, huu uzi ni wa 1st May, 2012, nilisema jinsi Kanda ya Kaskazini ilivyoichoka CCM!, Ila pia nilisema determinant wa nani anakuwa rais wa nchi hii, sio kura za Kanda ya Kaskazini, bali ni kura za Kanda ya Ziwa!. Angalieni matokeo ya mikoa miwili tuu ya Kilimanjaro na Arusha inatosha kuwakilisha nilichomaanisha!.
Wakuu,
Mkoa wa Kilimanjaro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9. Walioshinda katika hayo majimbo ambayo ni;

Hai - Freeman Mbowe (CHADEMA)

Siha - Dr. Godwin Mollel (CHADEMA) atangazwa kuwa mbunge mteule

Moshi Mjini - Ndg. Jaffary Michael (CHADEMA) ameshinda kuwa mbunge mteule

Mwanga- Prof. Jumanne Maghembe(CCM)

Same Mashiriki- Nagenjwa Kaboyoka (CHADEMA)

Same Magharibi - Mathayo David (CCM)

Moshi Vijijini- Anthony Calist Komu (CHADEMA)

Vunjo- James Mbatia (NCCR)

Rombo - Joseph Selasini (CHADEMA)

Wakuu,
Mkoa wa Arusha una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7. Washindi wa majimbo hayo ambayo ni;

Arusha: Uchaguzi uliahirishwa baada ya kutokea kifo cha Mgombea Ubunge wa ACT Wazalendo

Karatu: WILLE QAMBALO (CHADEMA)

Arumeru Magharibi: GIBSON MESIYEKI(CHADEMA)

Arumeru Mashariki: Ndg Joshua Nassari (CHADEMA)

Longido: ONESMO OLE NANGOLE(CHADEMA)

Monduli: Ndg Kalanga Julius Laizer (CHADEMA)

Ngorongoro: Ndugu William Tate ole Nasha (CCM)

Nimekubali na wale ambao hamkuliona hili kabla, jikumbusheni, nilisema nini hapa!.
[h=3]Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! .
[/h]Edward Lowassa ni kutoka Kanda ya Kaskazini, na amepata kura nyingi, bahati mbaya John Pombe Magufuli, ametoka Kanda ya Ziwa ambayo ndio determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, there was no way out!, kilichobaki ni kuukubali tuu ukweli mchungu huu na kusonga mbele!.

Hongereni sana Makamanda

  1. Kamanda Mkuu, Freeman Mbowe wa M/Kiti Chadema na Mbunge wa Hai,
  2. Kamanda Dr. Godwin Mollel (CHADEMA) wa Hai
  3. Kamanda Jaffary Michael wa Moshi Mjini
  4. Kamanda Nagenjwa Kaboyoka wa Same Mashariki
  5. Kamanda Anthony Calist Komu wa Moshi Vijijini
  6. Kamanda James Mbatia, M/Kiti NCCR na Mbunge wa Vunjo
  7. Kamanda Joseph Selasini wa Rombo
  8. Kamanda WILLE QAMBALO wa Karatu
  9. Kamanda GIBSON MESIYEKI wa Arumeru Magharibi
  10. Kamanda Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki
  11. Kamanda ONESMO OLE NANGOLE wa Longido
  12. Kamanda Kalanga Julius Laizer wa Monduli.
  13. Kamanda Pauline Gekuli wa Babati Mjini
  14. Kamanda James Ole Millya wa Simanjiro

Pasco

Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.

Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.

Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.

Ni kweli kwamba ccm kwa kanda hiyo haina nguvu na matokeo ya kura yameonyesha hivyo waziwazi.
Hapa jambo la msingi kujiuliza ni kwanini inekuwa hivyo?
Hebu tujiulize maswali haya
1.je serilali ya ccm
 
Wanabodi, huu uzi ni wa 1st May, 2012, nilisema jinsi Kanda ya Kaskazini ilivyoichoka CCM!, Ila pia nilisema determinant wa nani anakuwa rais wa nchi hii, sio kura za Kanda ya Kaskazini, bali ni kura za Kanda ya Ziwa!. Angalieni matokeo ya mikoa miwili tuu ya Kilimanjaro na Arusha inatosha kuwakilisha nilichomaanisha!.

Nimekubali na wale ambao hamkuliona hili kabla, jikumbusheni, nilisema nini hapa!.
Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi! .

Edward Lowassa ni kutoka Kanda ya Kaskazini, na amepata kura nyingi, bahati mbaya John Pombe Magufuli, ametoka Kanda ya Ziwa ambayo ndio determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, there was no way out!, kilichobaki ni kuukubali tuu ukweli mchungu huu na kusonga mbele!.

Hongereni sana Makamanda

  1. Kamanda Mkuu, Freeman Mbowe wa M/Kiti Chadema na Mbunge wa Hai,
  2. Kamanda Dr. Godwin Mollel (CHADEMA) wa Hai
  3. Kamanda Jaffary Michael wa Moshi Mjini
  4. Kamanda Nagenjwa Kaboyoka wa Same Mashariki
  5. Kamanda Anthony Calist Komu wa Moshi Vijijini
  6. Kamanda James Mbatia, M/Kiti NCCR na Mbunge wa Vunjo
  7. Kamanda Joseph Selasini wa Rombo
  8. Kamanda WILLE QAMBALO wa Karatu
  9. Kamanda GIBSON MESIYEKI wa Arumeru Magharibi
  10. Kamanda Joshua Nassari wa Arumeru Mashariki
  11. Kamanda ONESMO OLE NANGOLE wa Longido
  12. Kamanda Kalanga Julius Laizer wa Monduli.
  13. Kamanda Pauline Gekuli wa Babati Mjini
  14. Kamanda James Ole Millya wa Simanjiro

Pasco

Pasco, naomba utuwekee na matokeo ubunge ya mdau determinant wa urais, kanda ya ziwa....
 
Hata hapo Mwanza wasukuma wameaminishwa kuwa wasiwachague akina kiwia na wenje kwamba eti siyo wasukuma, hata Magufuli amechaguliwa kwa wasukuma kuaminishwa kuwa wamvhague msukuma ili awasaidie
 
Arusha ilikuwa chini ya ccm baada ya edo kuama ccm arusha Kilimanjaro yote cdm sio kama wameangalia ndugu yao.
 
Wakati waTz wanapambana kuondoa hizi elements za ukabila, ukawa wanaeneza ukaskazini. Ndio maana mmepigwa mikoa yote Tanzania bara ukiacha hiyo mikoa mitatu ya kaskazini na sio majimbo yote. Mliambiwa uchaguzi ukiiisha mtabaki ukiwa.
 
Exactly....
Kwa sababu tukianza kubaguana kikanda kila mtu anajua nani ataibuka mshindi...
Wanasiasa ni wabinafsi sana...
wanatengeneza mabomu yanayokuja kuwajerui na wao pia...
tension ya ukabila na udini iko juu sana uchaguzi huu ingawa tuna pretend kuwa everything is ok...

Ni matunda ya mbegu mbaya ya UKABILA, UKANDA NA UDINI iliyopandwa na wanasiasa wasiojitambua!
KAZI YA KWANZA YA UTAWALA WA AWAMU YA TANO NI KUTURUDISHIA
TANZANIA YETU ​MOJA!
 
Arusha ilikuwa chini ya ccm baada ya edo kuama ccm arusha Kilimanjaro yote cdm sio kama wameangalia ndugu yao.

ww mchanga kisiasa hujui kwamba mwanza ilikuwa ngome ya ukawa esp slaa hivyo kuondoka kwake watu wamepigia ccm wasukuma wenzao
 
ni ukabila tu.. hawana lolote. ccm imefanya makubwa huko kaskazini isingechukiwa kwa kiasi hicho.
watu wakazikazini wana akili kwenye ubongo hawana matope kwenye vichwa vyao ndiyo maana ccm wameshindwa kuiba huko na siku rais akitokea huko utasema kwanini alichelewa kutokea huko!
masikini na mafukura na majinga ndio mtaji wa ccm !
 
Back
Top Bottom