MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,556
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Tukio haliumizi taifa,linamuumiza magu na kina bashite,sisi tushaumia vya kutosha tumeshakata tamaa maana tumeshanyanyaswa vya kutosha na hii serikali ya kidikteta...
Tumemuachia mungu mana magu anatumia madaraka yake kutunyanyasa anavyotaka...
Ila nimuambie tu magu cku zote mungu ndo anajua kutoa hukumu ya haki,atunyanyase tu anavyoweza but kuna siku itafika na mungu cku hiyo ndo atatoa hukumu dhidi ya wale wote wanaotumia madaraka yao kunyanyasa wengine