Ohooooo!!Kwanini kesi zote ni za wizara ya ujenzi?
Achana naye huyo jamaa. Yeye kila akiamka anaombea mabaya yatokee. Atakufa na kihoro, ndio iliyobaki.
Wewe lazima utakuwa bavicha. Unaongea kwa kuzunguka zunguka.Wanaotakia nchi mabaya niwale wanaokiuka utaratibu na sheria kibabe bila kujali madhara yake pamoja na wale wanoshabikia kama vipofu
Ni sahihi kuwa wazalendo,lakini hili haliondoi ukweli kuwa viongozi wetu wapaswa kutumia busara hasa linapokuja swala la mikataba.Some people have to learn the hard way.Baada ya hapo,viongozi watakuwa wamejifunza,na wapiga kura pia watakuwa wamejifunza.Acha tu wazikamate.Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Kilichopangwa pale ni kupiga cha juu na si vinginevyoWenye akili hawatoi cash Kununua midege ya aina hiyo. Tz inanunua cash. Very poor business thinking.
Ethiopia hawanunui cash. Wako mbali sana. Wanalipa kadri wanavyo operate
Wakati bwana yule anavunja mikataba hovyo hovyo alikuwa anatufikiria na sisi?Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Umemjibu vizuri sana.Hiyo ndege naipanda mimi? Watumishi hakuna nyongeza ya mishahara wala kupanda madaraja, kwa mshahara upi nitapanda ndege? Maslahi halali ya watumishi wa umma kisheria yameminywa ili kununua ndege. Kama noma na iwe noma
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Mkuu hakuna anayefurahia haya bali ni kuonyesha uzembe na ukurupukaji mkubwa wa Serikali yetu hii
ambao unaingiza gharama kubwa walipa kodi bila wahusika kuadhibiwa kwa makosa yao miaka nenda miaka rudi.
Kawaambie waache kudai fedha zao ili tuzitumie kwenye hiyo miradi!Hela hiyo inaenda kwenye miradi ya maendeleo nchini
Nyie chadema ndiyo masnitch wakubwa wa nchi yetuKawaambie waache kudai fedha zao ili tuzitumie kwenye hiyo miradi!
Hao wapumbavu wanachekelea wakidhani hayo mambo hayawagusiPamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Mimi huku kakonko ninakokaa hakuna hata uwanja wa ndege,nawashauri hao wazungu walikamate kisha waliuze,halina faida kwetu watanzania,hasara tu