Mtazamo: Dreamliner inataka kuwekwa rehani

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,643
Reaction score
164,789
Mimi sio mwanasheria na wala sina ufahamu/utalaamu wa mambo haya ya mahakama za kimataifa.

Hata hivyo,kwa uelewa wangu,nadhani lengo la kampuni ya ujenzi ya Konoike ya Japani ni kutaka hukumu ya Mahakama ya Usuluhishi ya London isajiliwe na mahakama ya shirikisho nchi Marekani lengo hasa la wadeni wetu likiwa ni kupata idhini ya mahakama hiyo ya Marekani ya kuweza kukamata mali za Tanzania endapo deni wanalotudai halitalipwa na hapa bila shaka watakuwa wana-target ile dreamliner inayotarajiwa kuwasili nchi mwakani.

Tukumbuke kampuni ya Boeing inayotengeneza ndege za aina ya Boeing iko huko huko nchini Marekani.

Ni mtazamo tu.
 
That's very perfect Mkuu..

Hiyo ndio namna pekee ya kuilazimisha serikali hii ilipe madeni yake hasa kwa hawa wakandarasi wa nje..

Konoike wapate usajili wa hiyo hukumu yao waende Paris wakazuie Boeing Dreamliner..

Mindege imenunuliwa bila kufata utaratibu, kibabe-babe tu wakati Nchi ina matatizo chungu tele yanayohitaji kutatuliwa kuliko kununua hizo ndege.
 
Ujue hata huo uchaguzi unaweza kusogezwa mbele kisa PESA imetumika kukombolea ndege. Kwenye siasa kila tatizo linatumika kisiasa.
ni kheri wanajeshi wakose mishahara lakini uchaguzi ufanyike tu. kama hakuna hela ya kuchapisha makaratasi tu apiga kwa kupanga msitari nyuma ya mgombea au tunanyoosha vidole au kwa sauti wanafiki ndiyo au siyo
 
That's very perfect Mkuu..

Hiyo ndio namna pekee ya kuilazimisha serikali hii ilipe madeni yake hasa kwa hawa wakandarasi wa nje..

Konoike wapate usajili wa hiyo hukumu yao waende Paris wakazuie Boeing Dreamliner..

Mindege imenunuliwa bila kufata utaratibu, kibabe-babe tu wakati Nchi ina matatizo chungu tele yanayohitaji kutatuliwa kuliko kununua hizo ndege.
Tulipe tu,, unajua mimi huwa sipendi matatizo na watu bora tulipe kilicho chao tuondokane na haya mateso! Kuna taahira nalisikia linapitapita mitaani likitamba eti nchi ina pesa nyingi sana,, PATHETIC!
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Achana naye huyo jamaa. Yeye kila akiamka anaombea mabaya yatokee. Atakufa na kihoro, ndio iliyobaki.
 
Hivi konoike si ndo walijenga ile new bagamoyo road wayback 2011
 
  • Thanks
Reactions: SDG
That's very perfect Mkuu..

Hiyo ndio namna pekee ya kuilazimisha serikali hii ilipe madeni yake hasa kwa hawa wakandarasi wa nje..

Konoike wapate usajili wa hiyo hukumu yao waende Paris wakazuie Boeing Dreamliner..

Mindege imenunuliwa bila kufata utaratibu, kibabe-babe tu wakati Nchi ina matatizo chungu tele yanayohitaji kutatuliwa kuliko kununua hizo ndege.
Madeni ya konoike yakilipwa unafaidika nini Kamanda?
 
Wanachezea kodi tuu kulipa malimbikizo ya madeni Tanzania ni Nchi ngumu kwa raia wake ndio maana wanajikunyata na vits na duet...
 
Bado kina zile radar za bilioni 60,nazo wakamate,wakiuza hawatakosa chochote
 
That's very perfect Mkuu..

Hiyo ndio namna pekee ya kuilazimisha serikali hii ilipe madeni yake hasa kwa hawa wakandarasi wa nje..

Konoike wapate usajili wa hiyo hukumu yao waende Paris wakazuie Boeing Dreamliner..

Mindege imenunuliwa bila kufata utaratibu, kibabe-babe tu wakati Nchi ina matatizo chungu tele yanayohitaji kutatuliwa kuliko kununua hizo ndege.
Wenye akili hawatoi cash Kununua midege ya aina hiyo. Tz inanunua cash. Very poor business thinking.
Ethiopia hawanunui cash. Wako mbali sana. Wanalipa kadri wanavyo operate
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Sio kwa uzembe wetu kwahiyo hata madhara yakitukuta itakuwa tumesababishiwa na hatujasababisha sisi wala hatukuyaomba..ni uzembe wa viongozi wa ccm kujali matumbo yao
 
Back
Top Bottom