Chadema imeingiaje hapa? By the way Konoike wanasubiri Chadema wawahimize kudai chao? Kukurupuka kwenu kunawahuhusu hao Chadema? Pambaneni na hali yenu, mliyataka wenyewe!Nyie chadema ndiyo masnitch wakubwa wa nchi yetu
Chadema imeingiaje hapa? By the way Konoike wanasubiri Chadema wawahimize kudai chao? Kukurupuka kwenu kunawahuhusu hao Chadema? Pambaneni na hali yenu, mliyataka wenyewe!Nyie chadema ndiyo masnitch wakubwa wa nchi yetu
Itabidi tufanye kama wao, wanaomtaka huyu sema ndiooo, wasiomtaka sema siooo. Nafikiri haina gharama hii.Ujue hata huo uchaguzi unaweza kusogezwa mbele kisa PESA imetumika kukombolea ndege. Kwenye siasa kila tatizo linatumika kisiasa.
Subiri muda si mrefu utajionea mwenyewe.Mwaka huu mtapiga sana ramli
Nakuelewa sana ndugu yangu. Kwa yaliyotokea kuna wakati unatamani tuwe na sheria kama za China, waliohusika wanyongwe, ila kwa haki za binadamu basi hapa kwetu wafilisiwe na kufungwa maisha kabisa. Mbaya zaidi bado hatujifunzi tunarudia kufanya makosa yaleyale kwenye mikataba na maamuzi yanayohusu rasilimali zetu.
Naunga mkono harakati zote za kudai katiba mpya ili ikiwezekana uwajibikaji uwepo kwa tunaowapa dhamana.
Tatizo langu ni dogo na moja tu, wale wanaofurahia haya mambo kana kwamba tuko nchi tofauti.
Kitaturu shukrani sana mkuu, tatizo langu halipo kwenye kuukubali ukweli au kuambizana ukweli la hasha, na ningependa waliotufikisha hapa wachukuliwe hatua na kupewa adhabu kali kabisa kuwa fundisho.
Wewe unaweza kuwa haufurahii lakini kuna watu wanashindwa kuficha hisia zao za furaha na ushabiki kuunga mkono serikali inapoingia kwenye madeni na majanga ya aina hii.
Nafikiri umenielewa vizuri mkuu
Majibu ya kijinga yanawatosha sana wajamaa kujibu vitu kirahisi rahisi kwa muda huo. Kwani nani hajui hio shirika ni la serikali na deni ni la serikali?Sasa credit worthness inatoka wapi kwa shirika?Km lingekuwa ni shirika linalojitegemea lenyewe kwanini sasa linaporwa ndege kwa kesi za serikali? Nani kakuambia Precisionair wakienda nunu ndege leo zinashikwa? Upumbavu wa wajamaa unawafanya muonekane km wanyama.Ndio maana kila kukicha mkishaabika huko duania mnarudi danganya majiga yenu kuwa ubaguzi,sijui na nini na nini.Ile privilege ya kuuziwa ndege halafu unalipa kwa instalments hupewa yale mashirika yanayoeleweka kama British Airways, Lufthansa, KLM, Emirates, Quatar Air, Ethiopian Airlines Nk.
Shirika kama ATCL, haiwezi kupata upendeleo huo kwani ina "Shaky Creditworthiness" na pia haijulikani ndo maana hata kutoa advance payment, anayelipa kwa niaba yake ni serikali.
Uuuuwiiiii. Wahini kabla wasaliti hawajaiba tena nyaraka za mahakama dreamliner yetu iibwe. Badala ya kukofishiwa ndefe na Mbunge wa CCM au ndege za diaspora Nyalandu, ile bombadier iliyoibwa si ingefika Nairobi bila taabu?Mimi sio mwanasheria na wala sina ufahamu/utalaamu wa mambo haya ya mahakama za kimataifa.
Hata hivyo,kwa uelewa wangu,nadhani lengo la kampuni ya ujenzi ya Konoike ya Japani ni kutaka hukumu ya Mahakama ya Usuluhishi ya London isajiliwe na mahakama ya shirikisho nchi Marekani lengo hasa la wadeni wetu likiwa ni kupata idhini ya mahakama hiyo ya Marekani ya kuweza kukamata mali za Tanzania endapo deni wanalotudai halitalipwa na hapa bila shaka watakuwa wana-target ile dreamliner inayotarajiwa kuwasili nchi mwakani.
Tukumbuke kampuni ya Boeing inayotengeneza ndege za aina ya Boeing iko huko huko nchini Marekani.
Ni mtazamo tu.
pia walijenga dodoma ManyoniHivi konoike si ndo walijenga ile new bagamoyo road wayback 2011
where is the eagle Avatar picture?Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
where is the eagle Avatar picture?