Mtazamo: Dreamliner inataka kuwekwa rehani

Mtazamo: Dreamliner inataka kuwekwa rehani

Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
hiyo ni ishara kwa wenye akili kwamba CCM haitakiwi tena inanuka..
Tanzania bila CCM madarakani inawezekana..
kwani iko wapi KANU ya Mtakatifu D.A. Moi ? na kenya inazidi kupiga hatua..
hili genge ambalo hata ikulu wameifanya ya chama, linanuka..
amini usiamini? kuna watanzania ukitaja tu CCM wanatapika..
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Mimi nafurahia
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Tabia hizo wanazo ufipa Mkuu lkn wanajitoa ufahamu kuwa matatizo yote ya madeni yanayotutia misukosuko yalisababishwa na waliotangulia kiongozi wa sasa anagewa ubaya usiomuhusu na aliyepita anaonekana lulu kwao ufipa hawatakaa waeleweke hitajio lao ni nini wajue kwa magu nchi itasonga 2020 ushindi mapema tu.
 
Mimi huku kakonko ninakokaa hakuna hata uwanja wa ndege,nawashauri hao wazungu walikamate kisha waliuze,halina faida kwetu watanzania,hasara tu
 
Tabia hizo wanazo ufipa Mkuu lkn wanajitoa ufahamu kuwa matatizo yote ya madeni yanayotutia misukosuko yalisababishwa na waliotangulia kiongozi wa sasa anagewa ubaya usiomuhusu na aliyepita anaonekana lulu kwao ufipa hawatakaa waeleweke hitajio lao ni nini wajue kwa magu nchi itasonga 2020 ushindi mapema tu.
Mwaka huu utataga,kinikia wewe
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Watu wanashangilia kwamba JPM anakomolewa na ndiye aliyetuingiza huko wakati kiukweli wakati hayo yanatokea JPM nakuwa wizara ya ujenzi
 
Mimi sikai kimya na wala siihusudu chama kama unavyofikiria. Na kweli bora nikae kimya kuliko kufurahia nchi kuingia kwenye misukosuko.

Ukimkanya mwanao asinywe maji yasiyochemshwa, akanywa na kupata madhara, utafurahia kwamba ulimuonya na hakusikia na aendelee kudhurika ikiwezekana afe huku wewe ukikaa bila kuchukua hatua?

Unamtibu mwanao huku ukimkumbusha na kumuonya madhara ya kunywa maji yasiyochemshwa. Kufurahia peke yake bila kuchukua hatua stahiki haisaidii.

Nafikiri umenielewa
Ningekuwa mshauri wake ningechukua hatua stahiki kwa suala hili..hatua stahiki unayoweza kufanya wewe ni ipi?
 
Watu wanashangilia kwamba JPM anakomolewa na ndiye aliyetuingiza huko wakati kiukweli wakati hayo yanatokea JPM nakuwa wizara ya ujenzi

Unajua hata kama angekua anahusika, kushangilia haya majanga kunatupunguzia machungu au kutupa nafuu yoyote?
 
Ningekuwa mshauri wake ningechukua hatua stahiki kwa suala hili..hatua stahiki unayoweza kufanya wewe ni ipi?

Siwezi kuweka hapa hadharani kwa misingi na maadili ya kazi yangu, lakini siwezi kuonyesha kufurahishwa na majanga ya aina hii yanayoikumba nchi.
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.

Kwani mkubwa hata ukihuzunika, itaondoa ukweli kuwa tunadaiwa?

Labda uniambie "tuchukie ", kidogo nitaelewa kwa sbb kuchukia ni ishara kuwa hujapendezwa na jambo fulani.....

Lakini ikifikia watu kuchukia, basi kuna hatari ya kuingia barabarani na kuivurumisha serikali iliyoko madarakani... Mnataka haya siyo??

I hope unatambua kuwa dawa ya deni ni kulipa tu iwapo unadaiwa na kukubali hill...

Next, ni kufikiria namna ya kujiepusha kujiingiza kwenye madeni ya kizembe, kijinga na kujitakia.....

Madeni yetu ni ya kijinga, kizembe na kujitakia yanayotokana na kuvunja mikataba na watu tulioingia/kubaliana nao kutufanyia jambo ama shughuli fulani pasipo kufuata taratibu za kisheria.....

Ni kwa mantiki hii kuwa, hakuna anayefurahia nchi kujikuta iko kwenye madeni ya kipuuzi ya dizaini hii unless uniambie kuwa walioenda kusimama (wanasheria) ktk kesi hizi kututetea ndiyo wa kwanza kufurahia kwa sbb walikubali tushindwe.....

Ni vyema tuuseme ukweli kulilko kujifariji na faraja za kijinga kama hizi eti "......si vyema kufurahia..... ". Kwani mtu kufichua hii kitu na kuiweka hadharani ni kufurahia ama tunapashana habari /taarifa??

Kuficha taarifa kama hii ndiyo "kutofurahia" siyo? Sasa ukimyuti ndo deni litafutika sasa?
 
Pamoja na ukweli kwamba serikali ina mapungufu yake mengi, tusiwe wepesi kufurahia kila maamuzi au tukio linaloliumiza taifa, madhara yake tunayapata wote, hayabagui.
Hata usipofurahi tayari damage imeshatokea hata ukinuna huokoi chochote[emoji23] [emoji85]
 
Kitaturu shukrani sana mkuu, tatizo langu halipo kwenye kuukubali ukweli au kuambizana ukweli la hasha, na ningependa waliotufikisha hapa wachukuliwe hatua na kupewa adhabu kali kabisa kuwa fundisho.

Wewe unaweza kuwa haufurahii lakini kuna watu wanashindwa kuficha hisia zao za furaha na ushabiki kuunga mkono serikali inapoingia kwenye madeni na majanga ya aina hii.

Nafikiri umenielewa vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom