Mtazamo binafsi

Kama kuna kijana yuko 'idle' na yuko siriazi kwenye utafutaji tupitie huu uzi:-
 
Unadhani linawaumiza? Hawana lolote uzinzi tu mbona hawaumizwi na masikini wasio na mali ila wanaumizwa na wanawake wasio na waume? Hakuna cha huruma wala msaada ni umalaya tu ndo unawasumbua.
Taratibu bibie mbona maneno makali
 
Siku hizi wapo wengi wengine wanatia huruma kukosa mwanaume nadhani hizi ndoa za polygamy zingekuwa ni za lazima na za kisheria

Kama vile mfalme mswati alivyofanya huko Swaziland mke mmoja bila kuongeza unaenda jela yule jamaa ana akili anajua tulivyoumbwa na nature yetu sijui jiwe anakwama wapi hiyo sheria hajaileta nchini

Lazima niamie Swaziland
 

Unaona akili za kimalaya hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…