Mtaweza kweli kushindana na kanisa katoliki?

Mtaweza kweli kushindana na kanisa katoliki?

Wanashindana na kanisa la Mungu kwa kutumia propaganda wakati Mungu anaona uchafu wao wote wanaoufanya gizani,wataangamia vibaya sana.

KANISA KATOLIKI NI KANISA IMARA JANA,LEO NA KESHO.HALITIKISIKI KWA NAMNA YOYOTE ILE.KANISA KATOLIKI NI KANISA LA MWENYEZI-MUNGU MWENYEWE.
 
Huyo mshenzi usikute ni mwanaJF mwenzetu,pengine ni moja ya hii michawa ya humuhumu
 
Katika vitu sivipendi ni mambo ya udini
tuweke udini pembeni tuuongane tuwe pamoja.
 
Back
Top Bottom