ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,775
- 36,000
Naona mnaingia kina kirefu cha maji ya mtoni
Kanisa katoliki sio taasisi za kutikisa kwa propaganda
Kanisa katoliki Lina weledi
Hebu jibuni hoja zao, sio kuibua makundi ya wahuni kuwapinga na kuwatishia
Jibu hoja zao
Nani aliuwa ?
Nani aliiba kura?
Nani wanateka na kuuwa watu?
Nani anahujumu uchaguzi?
Miili ya waliouwawa Iko wapi?
Kwanini Dar haina maji?