Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Mtatuua jamani, vaeni chupi mtuepushie mabalaa

Majighu2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
2,941
Reaction score
3,963
Dada zetu siku hizi hawapendi kuvaa chupi kabisa.Wenyewe wanadai wanataka wapigwe upepo kunako.

Sasa wengine nguo wanazovaa ni hatari tupu,unakuta kavaa nguo laini na mzigo kajaliwa huo mtikisiko sasa mpaka presha zinatupanda.

Na wengine mpaka tamu yote inaonekana. Dada zetu hembu tuoneeni huruma sisi watoto wa watu. Tunajua ni utandawazi lakini sasa mmezidisha.
 
Joto kali.... wakivaa chupi huko chini kunaiva.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom