Ndugu zangu watanzania ninaandika makala hii kwa masikitiko makubwa juu ya kaka yangu na ndugu yangu Mtatiro, sijui kalogwa na nani? sijui ana stress za nini?, sijui kwasababu ya kukosa kazi?
Nina imani kaka yangu Mtatiro anafanya haya yote kwakukosa kazi, maana nakumbuka tangu amalize chuo hajawahi kuajiliwa sehemu yeyote ile, alipomaliza chuo aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa haki za binadamu wa Cuf na baadae kuwa Naibu Katibu mkuu wa Cuf Bara,cheo alichodumu nacho mpaka uchaguzi uliopita ambapo hakuchaguliwa katika cheo chochote kile.
Ndugu msomaji kuanzia muda huo mpaka sasa Mtatiro amekuwa akilandalanda mtaani bila kazi maalumu.
Nimeamua kuandika Maneno haya kwasababu Mtatiro amemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Magufuli kwa speech yake aliyoitoa Pemba, akiita kuwa ni ya Kibaguzi inawagawa Wazanzibari na kumwita Mh,Rais "unprofessional"
Maswali ya kujiuliza hapa kuhusu ndugu Julius Mtatiro ni;
1,Mtatiro amepewa kazi ya kusimamia mkutano mkuu wa Cuf ukamshinda, yeye na Katibu mkuu wa Cuf mh,Seif wakaongeza wajumbe fake na kutofuata katiba ya Chama, mkutano huo ukavurugika wakati pesa za watanzania wanazolipa kodi na Cuf hupewa kama ruzuku zaidi ya milioni 600 zikaliwa bure. Je kati ya Mh,Rais Magufuli na Mtatiro nani hapa ni unprofessional?
2,Mtatiro amegombea Ubunge mara 2, mwaka 2010 kagombea Ubungo,mwaka 2015 kagombea jimbo la Segerea kote kashindwa lakini mh,Rais kagombea mara 4 ubunge na Urais mwaka Jana na zote kashinda, Je kati ya Mh,Dr.Magufuli na Mtatiro nani unprofessional?
3,Mtatiro kama mjumbe wa mkutano mkuu Cuf ameshindwa kumshauri Maalimu Seif na Lipumba waweze kuelewana ili chama kisibomoke, Je Mtatiro ni professional?
4,Mtatiro kashindwa kumshauri Maalimu seif Sharifu agombee Urais Zanzibar na Wabunge na sasa Chama kinakufa Zanzibar kwakukosa ruzuku, Je wewe Julius Mtatiro ni Professional?
5,Maalimu Seif Sharifu amekuwa akitoa kauli za kibaguzi akitaka Zanzibar ijitenge iachane na Muungano na Mtatiro hajawahi kusema chichote. Je kati ya Seif anayetaka Muungano uvunjike na Mh,Rais Magufuli kauli yake aliyoitoa Pemba ya kusema bahati nzuri Shein anatoka Pemba nani mbaguzi?, nani mkabila? nani mroho wa madaraka?
Bila shaka ndugu msomaji utanielewa kwanini nimesema Mtatiro anakimbilia suti kabla ya kuvaa nepi, wewe Mtatiro kwanza ondoa ukabila na urafi wa madaraka ulioko Cuf ndo uanze kukosoa Mh,Rais na kimsingi hakuna kitu alichokosea ispokuwa uroho wako wa madaraka na yawezekana pengine unatafuta ajira kwa Mh,Rais maana mimi ninaamina hauna ajira tangu umalize chuo kikuu Cha Dar.
Ndugu watanzania na wana Cuf wenzangu, naombeni niwambie mtu wa kuogopa kama ukoma Cuf ni Julius Mtatiro na Maalimu Seif Sharif Hamadi ndio wanaoibomoa Cuf kwa urafi wa madaraka, Mtatiro amekuwa akipambana kila namna kuhakikisha anakuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na ndo kisa cha kumfukuza Magdalene Sakaya na njia wanaoitumia ni ya Uzanzibar na Ubara, kwasasa wamewagawa wajumbe kwa ukanda kwahiyo kuweni makini wana Cuf.
Zambi ileile anayoitenda Cuf ndo anataka kuileta kwa Rais wa Tanzania kwa kumwita mkabila na unprofessional wakati yeye Mtatiro ndie mwenye makandokando yote haya.
Mtatiro hana ethics za uongozi amekuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM na makamu wa Rais TAHILISO kazi ikamshinda kafukuzwa chuo, sababu kubwa ya kufukuzwa ni kukurupuka.
Ushauri wangu kwa Julius Mtatiro ni kwamba sio kila kauli ya Rais ukosoe ili kupata popularity kwa watanzania,ukosoaji mwingine unajishushia heshima, pia watanzania tunajua muongo na mkweli na kama wewe ni professional ijenge Cuf kwanza, na muelimishe Seif Sharif Hamadi aache ubaguzi na Udikiteta wa kukataza wenzie kugombea na sasa wanakufa njaa wakati yeye analipwa na serikali.
Zaidi ya hayo nikuombe mh,Rais Dr.Magufuli Ukaze kamba, wala usiwasikilize hawa wanaojifanya wakosoaji wakati ya kwao yamewashinda,na tumegundua wengine hawana ajira ni wasakatonge kama huyu Mtatiro.
Imeandaliwa na wenu,
Mwita Nyarukururu
mwitanyarukururu@gmail.com
We mwongo,,magfl watu hawampendi,,ccm wanawalazimisha wananchi tu kwa kupitia maigizo ya vyombo vya hbr kila wakat lkn ukweli ni kwamba hapendeki ppt pale labda kwa wehu km nyakururuNafuu ya watz ni Magufuli kwasasa hata akikosea anasameheka
Achana nae ataishiwa punzi tu..!!Hii ni post yako ya sita hapa JF, mtu akisoma post zako tano za nyuma atajua tuu kuwa umejiunga JF kwa makusudio gani. Sasa tambua hili sio jukwaa la unafiki na majungu.
Kama mkono Una harufu ya damu na wewe RAIA mwema ukiushika ujue utakuwa matataniUpinzani wanashangalia kila jambo la chuki linalo fanywa na upinzani... Hawajui kitendo cha Maalim kukataa kumpa mkono Shein.. Na mtatiro alipongeza...
HahahaaNaona baada ya kujikomba komba kwa mhishimiwa umeweka na email yako kabisa ili akutafute kukupa nafasi ya yule DED ambaye hajaripoti kazini mpaka sasa! Daah kweli ajira ngumu.
sasa ameumbuka vipi hapa? Mwanasiasa lazma afanye kazi yake ya kisiasaNdugu zangu watanzania ninaandika makala hii kwa masikitiko makubwa juu ya kaka yangu na ndugu yangu Mtatiro, sijui kalogwa na nani? sijui ana stress za nini?, sijui kwasababu ya kukosa kazi?