mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
nyie ndio mnampotosha mkulu
We ni nani hata uyajue sana mambo ya mtatiro?au ndo wale wa kujiuzuru na kujirudisha kwa nguvu tumia akili kisha toa mawazo ndo uchangie yaliyo boraNdugu zangu watanzania ninaandika makala hii kwa masikitiko makubwa juu ya kaka yangu na ndugu yangu Mtatiro, sijui kalogwa na nani? sijui ana stress za nini?, sijui kwasababu ya kukosa kazi?
Nina imani kaka yangu Mtatiro anafanya haya yote kwakukosa kazi, maana nakumbuka tangu amalize chuo hajawahi kuajiliwa sehemu yeyote ile, alipomaliza chuo aliteuliwa kuwa mkurugenzi wa haki za binadamu wa Cuf na baadae kuwa Naibu Katibu mkuu wa Cuf Bara,cheo alichodumu nacho mpaka uchaguzi uliopita ambapo hakuchaguliwa katika cheo chochote kile.
Ndugu msomaji kuanzia muda huo mpaka sasa Mtatiro amekuwa akilandalanda mtaani bila kazi maalumu.
Nimeamua kuandika Maneno haya kwasababu Mtatiro amemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Magufuli kwa speech yake aliyoitoa Pemba, akiita kuwa ni ya Kibaguzi inawagawa Wazanzibari na kumwita Mh,Rais "unprofessional"
Maswali ya kujiuliza hapa kuhusu ndugu Julius Mtatiro ni;
1,Mtatiro amepewa kazi ya kusimamia mkutano mkuu wa Cuf ukamshinda, yeye na Katibu mkuu wa Cuf mh,Seif wakaongeza wajumbe fake na kutofuata katiba ya Chama, mkutano huo ukavurugika wakati pesa za watanzania wanazolipa kodi na Cuf hupewa kama ruzuku zaidi ya milioni 600 zikaliwa bure. Je kati ya Mh,Rais Magufuli na Mtatiro nani hapa ni unprofessional?
2,Mtatiro amegombea Ubunge mara 2, mwaka 2010 kagombea Ubungo,mwaka 2015 kagombea jimbo la Segerea kote kashindwa lakini mh,Rais kagombea mara 4 ubunge na Urais mwaka Jana na zote kashinda, Je kati ya Mh,Dr.Magufuli na Mtatiro nani unprofessional?
3,Mtatiro kama mjumbe wa mkutano mkuu Cuf ameshindwa kumshauri Maalimu Seif na Lipumba waweze kuelewana ili chama kisibomoke, Je Mtatiro ni professional?
4,Mtatiro kashindwa kumshauri Maalimu seif Sharifu agombee Urais Zanzibar na Wabunge na sasa Chama kinakufa Zanzibar kwakukosa ruzuku, Je wewe Julius Mtatiro ni Professional?
5,Maalimu Seif Sharifu amekuwa akitoa kauli za kibaguzi akitaka Zanzibar ijitenge iachane na Muungano na Mtatiro hajawahi kusema chichote. Je kati ya Seif anayetaka Muungano uvunjike na Mh,Rais Magufuli kauli yake aliyoitoa Pemba ya kusema bahati nzuri Shein anatoka Pemba nani mbaguzi?, nani mkabila? nani mroho wa madaraka?
Bila shaka ndugu msomaji utanielewa kwanini nimesema Mtatiro anakimbilia suti kabla ya kuvaa nepi, wewe Mtatiro kwanza ondoa ukabila na urafi wa madaraka ulioko Cuf ndo uanze kukosoa Mh,Rais na kimsingi hakuna kitu alichokosea ispokuwa uroho wako wa madaraka na yawezekana pengine unatafuta ajira kwa Mh,Rais maana mimi ninaamina hauna ajira tangu umalize chuo kikuu Cha Dar.
Ndugu watanzania na wana Cuf wenzangu, naombeni niwambie mtu wa kuogopa kama ukoma Cuf ni Julius Mtatiro na Maalimu Seif Sharif Hamadi ndio wanaoibomoa Cuf kwa urafi wa madaraka, Mtatiro amekuwa akipambana kila namna kuhakikisha anakuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na ndo kisa cha kumfukuza Magdalene Sakaya na njia wanaoitumia ni ya Uzanzibar na Ubara, kwasasa wamewagawa wajumbe kwa ukanda kwahiyo kuweni makini wana Cuf.
Zambi ileile anayoitenda Cuf ndo anataka kuileta kwa Rais wa Tanzania kwa kumwita mkabila na unprofessional wakati yeye Mtatiro ndie mwenye makandokando yote haya.
Mtatiro hana ethics za uongozi amekuwa waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi UDSM na makamu wa Rais TAHILISO kazi ikamshinda kafukuzwa chuo, sababu kubwa ya kufukuzwa ni kukurupuka.
Ushauri wangu kwa Julius Mtatiro ni kwamba sio kila kauli ya Rais ukosoe ili kupata popularity kwa watanzania,ukosoaji mwingine unajishushia heshima, pia watanzania tunajua muongo na mkweli na kama wewe ni professional ijenge Cuf kwanza, na muelimishe Seif Sharif Hamadi aache ubaguzi na Udikiteta wa kukataza wenzie kugombea na sasa wanakufa njaa wakati yeye analipwa na serikali.
Zaidi ya hayo nikuombe mh,Rais Dr.Magufuli Ukaze kamba, wala usiwasikilize hawa wanaojifanya wakosoaji wakati ya kwao yamewashinda,na tumegundua wengine hawana ajira ni wasakatonge kama huyu Mtatiro.
Imeandaliwa na wenu,
Mwita Nyarukururu
mwitanyarukururu@gmail.com
Ni zaidi ya utumbo mkuu, halafu asivyojitambua eti anaweka email yake, sijui anataka wa kumtukana faragha.Umeandika utumbo mtupu. Angali wachangiaji wanvyokuzodoa
Hujitambui wala hufahamu kinachozungumzwa. Kwa nini unajaza server bila sababu ya maana?Raisi wetu ni bora na ataendelea kuwa bora wala hafanywi bora kwa washauri uchwara kwa sababu yeye tayari ni bora.
Sasa ndo umekiskia unasemaje?Mwenyekiti mtatiro??Siajwahi kusikia hiki cheo cha mwenyekiti wa muda wa chama cha siasa
Time will tellSasa ndo umekiskia unasemaje?
Ndugu zangu watanzania ninaandika makala hii kwa masikitiko makubwa juu ya kaka yangu na ndugu yangu Mtatiro, sijui kalogwa na nani? sijui ana stress za nini?, sijui kwasababu ya kukosa kazi?