Mtarajiwa wangu simuelewi

Uzinzi umeua jambo jema lililotarajiwa pole,pole ungevuta subira yumkini usingefika hapa leo
 
Mwanaume akikutoa bikira mshukuru kwa kukuonesha dira na namna ya mambo hayo yaendavyo,.masuala ya kugandana kama super glu hayaa,.mana bikira ishakuwa issue saiv cjui kisingizio au kweli mnawapendaga.....mmmhh!!!
 
mwenzio ashapata updates! fanya kama ulikuwa unaota vile!
 
Wewe umwelewi unahisi.shankupe Wa humu watakuelwwesha
 

Mimi pia mtarajiwa wangu simuelewi kwa hiyo ni pm.Fursa hii
 
Kwahiyo unamlazimisha hata kama kaahirisha?

Ni kawaida kubadili mawazo sio lazima akuoe hata kama anakuona we ni jipu. Suala la kuoana ni la milele, kwanini alazimishe? Tafta wengine ambao hawajaoa kama mimi
Hahahahahahaha,Mkuu; we nooooooma......yaaan umeamuuua kujitengenezea mazingira kabiisaaa...haahahah
 
Pole sana mamiii....hawa viumbe jamanii, watengewe tuu jehanam yao looh!!!co kwa kutesa huku....
Haya mambo yapo kote kote na sio watu wote. Ni jambo jema na la muhimu sana kumshirikisha Mungu unapoamua kutafuta mwenza, Hatakuangusha.

Sasa, mmekutana na mmeshavuana nguo tayari ... Hapo possibility ya mmoja ku back out ni kubwa.
 
Dada usitanie miaka 7 unadate tu....sasa hapo ulikua unasubir ndoa au mlikua mnataka kubariki ndoa
 
Achana nae bado hujachelewa . Jifunze kuacha .Usilazimishe awe wako . Mda bado unao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…