Mtanzania wa kwanza kuwa profesa

Mtanzania wa kwanza kuwa profesa

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
584
Wana jf nahitaji kumjua ni nani mtanzania kutunukiwa uprofesa na ni mwaka gani!
 
Swali zuri hata mimi ningependa kujua wapendwa!
 
Kumbukumbu zangu zinaniambia ni prof.Kimambo.
 
Hawa walikuwa maprofesor kabla ya Kimambo
1. Profesor John Machunda Agriculture
2. Profesor Mwamkemwa Medical Doctor
 
Swali gumu kwelikweli, ila la muhimu kwa historia ya nchi yetu. ngoja tusibiri wadau waje
 
Kighoma malima. Mwaka sijui

Sio kweli, najua mtabisha lakini find out na utakuta kuwa huyo Malima wenu hata hiyo Doctorate yake hakuimalizia!!Rekodi za chuo alichosoma huko marekani zinaonesha hivyo!!
 
Uprofesa kama wa Maji marefu nao unahusika hapa!?
 
Wadau,nadhani mtu angeandika jina na kutoa justification,kwa mfano ni kwanini unamtaja prof. Kajuna na sio prof. Palamagamba Kabudi(rafiki wa mahakama) au prof. Malimao na sio prof. Kitiputipu.., yangu ni hayo tu kwenye mada hii nzuri
 
anaweza akawa Professor Shaba Histopathologist who in 1950s he served as secretary to the Royal Pathologists Association nimejaribu kufanya correlation ya mwaka huo na nchi yetu ila sina uhakika
 
anaweza akawa Professor Shaba Histopathologist who in 1950s he served as secretary to the Royal Pathologists Association nimejaribu kufanya correlation ya mwaka huo na nchi yetu ila sina uhakika

ninavyofahamu mimi, kama niko sahihi, Prof. Shaba is the first profesor in Pathology.
 
Kighoma malima. Mwaka sijui

Kighoma Malima??? Nawafahamu at least ma Prof watano walioupata kabla ya Malima wakiwemo Mgongo Fimbo, Geoffrey Mmari, Philemon Sarungi na Hubert Kairuki.
 
Back
Top Bottom