Tanzania tuu, nusu ya binadamu hapa duniani ni kinamama, na hiyo ni bidha ya lazima wala sio luxury.Kutengeneza maternity sanitary towels, upate tenda ya kusupply wizara ya Afya kwa hospitali zote Tanzania.
Mbagala wananchi wameanza kula ngozi.mazao ya ngozi
Una wazi gani la biashara au una mtaji ungependa kuwekeza? tuwasiliane via pmKatika kuitikia wito wa kujenga viwanda nchini (bila shaka tutapata uwezeshaji/mikopo toka serikalini) natafuta mswahili mwenzangu mwenye nia ya kuanzisha kiwanda nchini.
Hii ni katika kuondoa fitna na makelele tuliyozoea. Wakati ngozi nyeupe wakipiga pesa sisi tunalia lia na fursa zipo mfano hai ni fursa za AGOA Wahindi wa A to Z wakila fursa sisi tumebaki kukata mauno Fiesta IMOOO na Nyama Choma Festival.
NB: Ngozi nyeusi tupunguze majungu tuchangamkie fursa za viwanda
Mdau,Katika kuitikia wito wa kujenga viwanda nchini (bila shaka tutapata uwezeshaji/mikopo toka serikalini) natafuta mswahili mwenzangu mwenye nia ya kuanzisha kiwanda nchini.
Hii ni katika kuondoa fitna na makelele tuliyozoea. Wakati ngozi nyeupe wakipiga pesa sisi tunalia lia na fursa zipo mfano hai ni fursa za AGOA Wahindi wa A to Z wakila fursa sisi tumebaki kukata mauno Fiesta IMOOO na Nyama Choma Festival.
NB: Ngozi nyeusi tupunguze majungu tuchangamkie fursa za viwanda
Katika kuitikia wito wa kujenga viwanda nchini (bila shaka tutapata uwezeshaji/mikopo toka serikalini) natafuta mswahili mwenzangu mwenye nia ya kuanzisha kiwanda nchini.
Hii ni katika kuondoa fitna na makelele tuliyozoea. Wakati ngozi nyeupe wakipiga pesa sisi tunalia lia na fursa zipo mfano hai ni fursa za AGOA Wahindi wa A to Z wakila fursa sisi tumebaki kukata mauno Fiesta IMOOO na Nyama Choma Festival.
NB: Ngozi nyeusi tupunguze majungu tuchangamkie fursa za viwanda
AGOA ndo nn au ile ya kuuza picha mtandaoni!!... Sorry nataka tujenge wote kiwanda ila tuanzie hapo kwenye AGOAKatika kuitikia wito wa kujenga viwanda nchini (bila shaka tutapata uwezeshaji/mikopo toka serikalini) natafuta mswahili mwenzangu mwenye nia ya kuanzisha kiwanda nchini.
Hii ni katika kuondoa fitna na makelele tuliyozoea. Wakati ngozi nyeupe wakipiga pesa sisi tunalia lia na fursa zipo mfano hai ni fursa za AGOA Wahindi wa A to Z wakila fursa sisi tumebaki kukata mauno Fiesta IMOOO na Nyama Choma Festival.
NB: Ngozi nyeusi tupunguze majungu tuchangamkie fursa za viwanda
Dada Sky Eclat sisi NGOZI NYEUSI tumezoea kwenda kununua malonya CHINA na kuja kuyabwaga Kariakoo na Insta. Kuanzisha viwanda na ATTITUDE ya kudharau vinavyozalishwa nyumbani, mfumo wa furushi la VIBALI -Kutengeneza maternity sanitary towels, upate tenda ya kusupply wizara ya Afya kwa hospitali zote Tanzania.
Spea za ndege??hapa hapa nchini?Mimi ni mdau nina hekari 50 mpiji majohe pia piga "saundi" wa kuvutia Wawekezaji wazalendo kujenga kiwanda cha spea za ndege