and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,461
- 40,264
Katika kuitikia wito wa kujenga viwanda nchini (bila shaka tutapata uwezeshaji/mikopo toka serikalini) natafuta mswahili mwenzangu mwenye nia ya kuanzisha kiwanda nchini.
Hii ni katika kuondoa fitna na makelele tuliyozoea. Wakati ngozi nyeupe wakipiga pesa sisi tunalia lia na fursa zipo mfano hai ni fursa za AGOA Wahindi wa A to Z wakila fursa sisi tumebaki kukata mauno Fiesta IMOOO na Nyama Choma Festival.
NB: Ngozi nyeusi tupunguze majungu tuchangamkie fursa za viwanda